Sio lazima, ndo maana si kwamba kila unapotembeza bakuli lako unapewa, bali mara nyingine unanyimwa unapeleka bakuli kwa tajiri mwingine.Kwani ukiombwa lazima ukubali? wakatae sasa tumewakera na wafute misaada yote sio 40% pekee
Sio kutetea uvamizi hatutaki kujihusisha na mambo yasiyotuhusu, ukraine alivunja makubaliano waliyoingia wao wenyeweTanzania inatetea uvamizi, US wako sahihi.
mleta mada ni mmarekani wa uramboSawa, lakini kulikuwa na ulazima gani wa kuitaja Tanzania specifically?
Dunia itagawanyika.... hii vita ni hatari sana; itapelekea serikali nyingi kuondolewa madarakani.
Putin angewavamia hao waliokuwa wanavamia sehem nyingine ningemuona Putin yupo timamu ila anaenda kukiokota kibonde , huo ni uonevu , nashanga sijui kwann unaunga mkonoPoa tu. Wameuwa waasisi wa ukombozi afrika tupo kimya. Wamevamia libya kwa mabavu kimya. Wamevamia iraq. Tupo kimya. Wamevamia vietnam. Kimya. Ghafla mwenzao kapewa kibano basi mkuki kwa nguruwe…..waende zao huko!
Waache wapunguze kabsa 1000% msimamo wetu Tanzania uko pale paleUS to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive
And those who supported aids will be reduced to 100%
Waseme mara ngapi?Kuna siku watasema msipofi.rana tunafuta misaada.