US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

Kwani ukiombwa lazima ukubali? wakatae sasa tumewakera na wafute misaada yote sio 40% pekee
Sio lazima, ndo maana si kwamba kila unapotembeza bakuli lako unapewa, bali mara nyingine unanyimwa unapeleka bakuli kwa tajiri mwingine.
 
Poa tu. Wameuwa waasisi wa ukombozi afrika tupo kimya. Wamevamia libya kwa mabavu kimya. Wamevamia iraq. Tupo kimya. Wamevamia vietnam. Kimya. Ghafla mwenzao kapewa kibano basi mkuki kwa nguruwe…..waende zao huko!
Putin angewavamia hao waliokuwa wanavamia sehem nyingine ningemuona Putin yupo timamu ila anaenda kukiokota kibonde , huo ni uonevu , nashanga sijui kwann unaunga mkono
 
US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

And those who supported aids will be reduced to 100%

Waache wapunguze kabsa 1000% msimamo wetu Tanzania uko pale pale
 
Back
Top Bottom