The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Eeeeee wewe hakuna unalolijua hapo mashariki ya kati Marekani ndiye mlinzi na mlezi wao. Kuwait, Iraq, Jordan, Saud Arabia na UAE huwaambia kitu kuhusu Marekani. Wanajua wapi alipowatoaYaani hao jamaa ni kama vile futuhi.Full vichekesho.
Yaani hao jamaa ni kama vile futuhi.Full vichekeshMare
Marekani ni mpuuzi tu.Huyo huyo kapiga mabomu kwenye kile kisiwa ambako mafuta mengi ya Iran hupakiwa,eti leo kayaruhusu mafuta ya Iran.Ni mtu hamnazo pekee anayeweza kuielewa hiyo futuhi.Eeeeee wewe hakuna unalolijua hapo mashariki ya kati Marekani ndiye mlinzi na mlezi wao. Kuwait, Iraq, Jordan, Saud Arabia na UAE huwaambia kitu kuhusu Marekani. Wanajua wapi alipowatoa
Amewatoa wapi?Eeeeee wewe hakuna unalolijua hapo mashariki ya kati Marekani ndiye mlinzi na mlezi wao. Kuwait, Iraq, Jordan, Saud Arabia na UAE huwaambia kitu kuhusu Marekani. Wanajua wapi alipowatoa
Kwako huwezi kuelewa maanayake..hii ni vita ya Kiuchumi Kwa watu wenye Akili ndogo wanawaza udini tuYaani hao jamaa ni kama vile futuhi.Full vichekesho.
Kwani iran ilikuwa inataka kusafirisha mafuta? Unasafirishaje mafuta katika hali ilivyo hapo ghuba?Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, ameviambia vyombo vya habari kuwa; Marekani imekubali kwa makusudi kuruhusu meli za mafuta za Iran kupita katika Mlango wa Hormuz bila kuzuiliwa kijeshi kwa sasa.
Hatua hii imechukuliwa ili kudhibiti bei ya mafuta duniani isipae zaidi (baada ya kufika zaidi ya $100 kwa pipa) na kuzuia mfumuko wa bei wa kimataifa. Uamuzi huu umekuja baada ya kipindi cha mapigano makali mwezi Februari na Machi 2026 kati ya Marekani/Israel na Iran, hali iliyokuwa imehatarisha kufungwa kabisa kwa njia hiyo ya maji.
Bessent amesisitiza kuwa Marekani inajipanga kuunda muungano wa kijeshi kusindikiza meli za mataifa mengine, huku ikitegemea mataifa kama China yasaidie kulinda usalama wa njia hiyo kwa manufaa ya soko la nishati.
Acha bangi Dogo, mafuta yakipanda shemeji yako atakutimua kwake, we endelea kushabikia ujinga badala ya kuombea vita viisheYaani hao jamaa ni kama vile futuhi.Full vichekesho.
Uwe unaelewa basi. Amepiga miundombinu ya kijeshi tu lakini hajapiga miundombinu ya mafuta.Marekani ni mpuuzi tu.Huyo huyo kapiga mabomu kwenye kile kisiwa ambako mafuta mengi ya Iran hupakiwa,eti leo kayaruhusu mafuta ya Iran.Ni mtu hamnazo pekee anayeweza kuielewa hiyo futuhi.
Miundombinu ya mafuta imepigwa Iran kwa kiasi kikubwa.Uwe unaelewa basi. Amepiga miundombinu ya kijeshi tu lakini hajapiga miundombinu ya mafuta.
Sio kweli lete ushahidi lkn isiwe AI kutoka masjid ubwabwa.Miundombinu ya mafuta imepigwa Iran kwa kiasi kikubwa.
Wacha kudanganya watu.
Katafute habari ya kisiwa cha kuchakata na kuhifadhi mafuta Iran kilifanywa nini.Sio kweli lete ushahidi lkn isiwe AI kutoka masjid ubwabwa.