USA Amekimbia Red Sea

USA Amekimbia Red Sea

Waafrika sio lazima tufuate hayo na sisi tuna namna yetu tunavyopaswa kuabudu na mkataa chake ni mtumwa. Acha fikra za kuhusudu tamaduni za kigeni, ndio ujinga wa waafrika.
Tufuate namna za kuabudu za nani!?.. mnyamwezi,mngoni,mjita,mhehe,mnigeria,mshona,mndebele,mswaziland!?..wapate walikua wakitupa watoto mlimani mkumba vana kisa uotaji wa meno,tufuate Hilo!?..m
Yesu naye ni nani?
Paulo
 
Tufuate namna za kuabudu za nani!?.. mnyamwezi,mngoni,mjita,mhehe,mnigeria,mshona,mndebele,mswaziland!?..wapate walikua wakitupa watoto mlimani mkumba vana kisa uotaji wa meno,tufuate Hilo!?..m

Paulo
Hayo mambo ya kutupa watoto milimani ni porojo tu za hao walioleta dini hizo za kuja na hazina ukweli wowote. Lazima tuenzi utamaduni wetu na tuachane na fikra za kitumwa.
 
Hayo mambo ya kutupa watoto milimani ni porojo tu za hao walioleta dini hizo za kuja na hazina ukweli wowote. Lazima tuenzi utamaduni wetu na tuachane na fikra za kitumwa.
Upi!?..wanyamwezi ntemi/mtemi akifa azikwe na binti mbichi mrembo,tuifuate hiyo!?..nkumba vana ipo kwenye rekodi za nchi yako,ndivyo mambo yalivyokua,uliza wapare
 
Upi!?..wanyamwezi ntemi/mtemi akifa azikwe na binti mbichi mrembo,tuifuate hiyo!?..nkumba vana ipo kwenye rekodi za nchi yako,ndivyo mambo yalivyokua,uliza wapare
Ndio nakwambia hizo zilikuwa ni porojo zinazoenezwa na hao wanaoabudu tamaduni za kigeni, sasa huyo Milambo alipokufa alizikwa na binti gani..!⁉️

Na mbona kwingineko mnaambiwa ukifa ukipigania mungu fulani unaenda kupewa mabikra 72 wenye macho kama mayai na uume unasimama kwa mwaka mzima na pombe inayotiririka kwenye mito, mbona hayo hamshangai..😛😛😛
 
Unaposema USA unamaana ya United state of America au unamaanisha
USA RIVER ya Arusha.
Marekani, hawajaamua kuwashughulikia Yemen. Vita sio kupigana mabomu tuuuu. Hata wakopiga ugonjwa wa kuwaangaisha hao yemen. Kama kongo wanavyoangaika na Homa ya Dengue na maebola
 
Takriban meli 20 za kivita zikiwemo USS Eisenhower na ndege hamsini za kisasa za kivita
Licha ya hayo, wanajeshi wa majini wa Yemen waliishambulia kwa bomu meli ya kubeba ndege ya Marekani "SS Eisenhower" na kuipiga kwa mara ya kwanza tangu Vita vya Pili vya Dunia.

US na Uingereza watajisumbua tu wanadhani kupiga Station ta tv na Port na kuwauwa raia wa Yemen ndio Yemen atawacha kuzishambulia meli alijidai kama ameondoka karudi tena lakini kakipata cha moto toka kwa Yemen
SS Eisenhower ndio bye byee haha.

View: https://youtu.be/94Xt4KxkY9k?si=iqzMP2Y1DXA_OBV3
 
acha kutuchanganya bhana. ulituambia na nani?
 
Unaposema USA unamaana ya United state of America au unamaanisha
USA RIVER ya Arusha.
USA ni Mungu mpaka asipigwe!?
Embu ondoeni matope kichwani.
USA sio mara kwanza kuwakimbia Houthi,hata ,zile vita zilizoanza 2014 kuwafukuza Houthi USA alishiriki indirect na hakufua dafu.
Hao waarabu wanagonga shaba sio mchezo.
 
Unadhihaki na kuchukia kusujudu/kugonga kichwa chini, ibada zilifanyika hivyo toka Ibrahim,Musa,yesu mpaka Muhammad, Joshua 7:6, Genesis 17:3, exodus 34:8,numbers 16:22,Mathew 26:39, QUR'AN 2:133

Sasa wewe ukifika kwa Mungu' jiandae kumueleza ibada ya mayowe na kurukaruka kana kwamba yeye kiziwi umeitoa wapi
Kila watu wana namna yao ya kumwabudu mwenyezi Mungu na sio lazima tufuate watu wengine wanaabuduje. Shida ni kwamba sisi waafrika utumwa umetutawala sana kuliko jamii yoyote duniani.
 
Back
Top Bottom