Ni yesuMuhamad ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yesuMuhamad ni nani?
Tuliwambia humu Yemen hakuna Taifa duniani linamuweza mkabisha, mkawa mnacheka wengine wakawa wanawacheka eti ni masikini kuliko hata Tanzania.
Leo hi America kakimbia Red Sea kakiri wazi Yemen ni moto wa kuotea mbali, sa nani atasogea hapo?
View: https://youtu.be/X4gEJdChHvs?si=UDvbpvkGDw8l_IIe
Yesu naye ni nani?Ni yesu
Tufuate namna za kuabudu za nani!?.. mnyamwezi,mngoni,mjita,mhehe,mnigeria,mshona,mndebele,mswaziland!?..wapate walikua wakitupa watoto mlimani mkumba vana kisa uotaji wa meno,tufuate Hilo!?..mWaafrika sio lazima tufuate hayo na sisi tuna namna yetu tunavyopaswa kuabudu na mkataa chake ni mtumwa. Acha fikra za kuhusudu tamaduni za kigeni, ndio ujinga wa waafrika.
PauloYesu naye ni nani?
Hayo mambo ya kutupa watoto milimani ni porojo tu za hao walioleta dini hizo za kuja na hazina ukweli wowote. Lazima tuenzi utamaduni wetu na tuachane na fikra za kitumwa.Tufuate namna za kuabudu za nani!?.. mnyamwezi,mngoni,mjita,mhehe,mnigeria,mshona,mndebele,mswaziland!?..wapate walikua wakitupa watoto mlimani mkumba vana kisa uotaji wa meno,tufuate Hilo!?..m
Paulo
Upi!?..wanyamwezi ntemi/mtemi akifa azikwe na binti mbichi mrembo,tuifuate hiyo!?..nkumba vana ipo kwenye rekodi za nchi yako,ndivyo mambo yalivyokua,uliza wapareHayo mambo ya kutupa watoto milimani ni porojo tu za hao walioleta dini hizo za kuja na hazina ukweli wowote. Lazima tuenzi utamaduni wetu na tuachane na fikra za kitumwa.
Ndio nakwambia hizo zilikuwa ni porojo zinazoenezwa na hao wanaoabudu tamaduni za kigeni, sasa huyo Milambo alipokufa alizikwa na binti gani..!⁉️Upi!?..wanyamwezi ntemi/mtemi akifa azikwe na binti mbichi mrembo,tuifuate hiyo!?..nkumba vana ipo kwenye rekodi za nchi yako,ndivyo mambo yalivyokua,uliza wapare
Marekani, hawajaamua kuwashughulikia Yemen. Vita sio kupigana mabomu tuuuu. Hata wakopiga ugonjwa wa kuwaangaisha hao yemen. Kama kongo wanavyoangaika na Homa ya Dengue na maebolaUnaposema USA unamaana ya United state of America au unamaanisha
USA RIVER ya Arusha.
Mbona aliwambia TalebanYaaaani mm huwa sielewi kabsa tofauti na Quran huko madrasa sijui huwa wanafundishwa nn kingine. Anaejua anisaidie yaani Marekani awakimbie Houthi!!!!!?????
Ndo ukae utafakari Marekani mwenye ndege vita na vifalu na kila technology kwa nn alijiondoa Afghanistan? Na kuwaachia Taliban waliokuwa na smg tu.Mbona aliwambia Taleban
Wapenda mavi ni watu wakanisani ndo za jinsia moja zinafungwa wapi?Eti aikimbie failed state ya Yemen!! Hii mijitu zaidi ya kupenda kula na kuchezea mavi hamna yanachoweza!!
USA ni Mungu mpaka asipigwe!?Unaposema USA unamaana ya United state of America au unamaanisha
USA RIVER ya Arusha.
Kila watu wana namna yao ya kumwabudu mwenyezi Mungu na sio lazima tufuate watu wengine wanaabuduje. Shida ni kwamba sisi waafrika utumwa umetutawala sana kuliko jamii yoyote duniani.Unadhihaki na kuchukia kusujudu/kugonga kichwa chini, ibada zilifanyika hivyo toka Ibrahim,Musa,yesu mpaka Muhammad, Joshua 7:6, Genesis 17:3, exodus 34:8,numbers 16:22,Mathew 26:39, QUR'AN 2:133
Sasa wewe ukifika kwa Mungu' jiandae kumueleza ibada ya mayowe na kurukaruka kana kwamba yeye kiziwi umeitoa wapi