USA: Area 51

Sio kweli! Kimwonekano kwa juu anaweza kudanganya jamii ya kimataifa! Lakini chini ya ardhi hadi kilometer kadhaa kuna mahabara kubwa ya kufanyia majaribio ya silaha za kibiolojia! Korona kaitengeneza mmarekani kaenda kuipandikiza China!
 
Huijui Marekani! Huwezi kutawala dunia kizembe! Silaha softcated ever ni za mmarekani!
Unaongeza story za jaba za walioishia darasa la saba. Hizo mahabara unazodai zipo chini huzijui, na huna picha zake, na huna ushahidi. Ni sawa na mimi nikisema hapo ulipo una vidole sita mkononi na ushahidi sina.

Tunazungumzia kinachoonekana mpaka ukaiita Area 51. Hayo mengine ni story, hata mimi kesho naweza amua sema chini pale kuna ziwa la moto au kuna mgodi wa madini.
 
Ni kweli sio Area 51, OP kaamua kudanganya.

Nilipotea sana kama mwaka ila sasa nipo. Asante kwa kujali, T14 Armata.
 
Huijui Marekani! Huwezi kutawala dunia kizembe! Silaha softcated ever ni za mmarekani!
Hivi umenielewa? sijakataa umiliki wa hizo zana, nakataa hiyo picha, area 51 haina picha kama hiyo, hakuna alowahi piga picha kwa ukaribu hivyo, kuna reason why inakuwa siri na imebaki kuwa kitendawili duniani.
 
Hongera mkuu Kwa kuingia mpaka restricted area 51 na kutuletea ka picha 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…