USA: Area 51

USA: Area 51

Sio Area 51 hapo, A51 huwa pako wazi with few airstrips na facilities kidogo ziko kwenye uzio kwa ajili ya testing of military aircrafts, missiles na silaha nyingine.

Hii kwenye picha ni boneyard ya AMARG, Tucson, Arizona. Ndegevita zikiwa retired zinapelekwa hapo for salvage or storage sababu humidity ni ndogo haziharibiki haraka.

Alafu mbona ulipotea sana. Unajua huwa nakukubali, kidogo nije kukusaka kwenye uzi wako wa vitabu
Sio kweli! Kimwonekano kwa juu anaweza kudanganya jamii ya kimataifa! Lakini chini ya ardhi hadi kilometer kadhaa kuna mahabara kubwa ya kufanyia majaribio ya silaha za kibiolojia! Korona kaitengeneza mmarekani kaenda kuipandikiza China!
 
Huijui Marekani! Huwezi kutawala dunia kizembe! Silaha softcated ever ni za mmarekani!
Screenshot_20230930-151618.png
 
Unaongeza story za jaba za walioishia darasa la saba. Hizo mahabara unazodai zipo chini huzijui, na huna picha zake, na huna ushahidi. Ni sawa na mimi nikisema hapo ulipo una vidole sita mkononi na ushahidi sina.

Tunazungumzia kinachoonekana mpaka ukaiita Area 51. Hayo mengine ni story, hata mimi kesho naweza amua sema chini pale kuna ziwa la moto au kuna mgodi wa madini.
 
Sio Area 51 hapo, A51 huwa pako wazi with few airstrips na facilities kidogo ziko kwenye uzio kwa ajili ya testing of military aircrafts, missiles na silaha nyingine.

Hii kwenye picha ni boneyard ya AMARG, Tucson, Arizona. Ndegevita zikiwa retired zinapelekwa hapo for salvage or storage sababu humidity ni ndogo haziharibiki haraka.

Alafu mbona ulipotea sana. Unajua huwa nakukubali, kidogo nije kukusaka kwenye uzi wako wa vitabu
Ni kweli sio Area 51, OP kaamua kudanganya.

Nilipotea sana kama mwaka ila sasa nipo. Asante kwa kujali, T14 Armata.
 
Huijui Marekani! Huwezi kutawala dunia kizembe! Silaha softcated ever ni za mmarekani!
Hivi umenielewa? sijakataa umiliki wa hizo zana, nakataa hiyo picha, area 51 haina picha kama hiyo, hakuna alowahi piga picha kwa ukaribu hivyo, kuna reason why inakuwa siri na imebaki kuwa kitendawili duniani.
 
Hongera mkuu Kwa kuingia mpaka restricted area 51 na kutuletea ka picha 😂
 
Back
Top Bottom