Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Lami ya nini sehemu yenye silaha za kivitaMmarekani kashindwa kutengeneza lami apo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lami ya nini sehemu yenye silaha za kivitaMmarekani kashindwa kutengeneza lami apo
Kashindwa kuilipua kiv ikawe USAPutin haishindwi kuilipua siku wakimzingua...😂😂
Afgan kaitawala miaka 20 akae tu sehemu haina faidaAlikimbizwa na walima mpunga(Afghan)
Alikimbizwa na wafuga mbuzi milimani (Vietnan)
Sio kweli! Kimwonekano kwa juu anaweza kudanganya jamii ya kimataifa! Lakini chini ya ardhi hadi kilometer kadhaa kuna mahabara kubwa ya kufanyia majaribio ya silaha za kibiolojia! Korona kaitengeneza mmarekani kaenda kuipandikiza China!Sio Area 51 hapo, A51 huwa pako wazi with few airstrips na facilities kidogo ziko kwenye uzio kwa ajili ya testing of military aircrafts, missiles na silaha nyingine.
Hii kwenye picha ni boneyard ya AMARG, Tucson, Arizona. Ndegevita zikiwa retired zinapelekwa hapo for salvage or storage sababu humidity ni ndogo haziharibiki haraka.
Alafu mbona ulipotea sana. Unajua huwa nakukubali, kidogo nije kukusaka kwenye uzi wako wa vitabu
Huijui Marekani! Huwezi kutawala dunia kizembe! Silaha softcated ever ni za mmarekani!Hakuna pictures za area 51, zaidi ya fence na mageti tu.
Breeding ground of terrorist ilikuwa Afghanistan! Kaisambaratisha na kuweka mapandikizi wake na kuamua kuondoka! Marekani haiwezi kuondoka kizembe! Inaacha uongozi wake na kuuendesha remotely!Afgan kaitawala miaka 20 akae tu sehemu haina faida
Huijui Marekani! Huwezi kutawala dunia kizembe! Silaha softcated ever ni za mmarekani!
SOURCE: Trust me broKorona kaitengeneza mmarekani kaenda kuipandikiza China!
Sio kweli! Kimwonekano kwa juu anaweza kudanganya jamii ya kimataifa! Lakini chini ya ardhi hadi kilometer kadhaa kuna mahabara kubwa ya kufanyia majaribio ya silaha za kibiolojia! Korona kaitengeneza mmarekani kaenda kuipandikiza China!
Unaongeza story za jaba za walioishia darasa la saba. Hizo mahabara unazodai zipo chini huzijui, na huna picha zake, na huna ushahidi. Ni sawa na mimi nikisema hapo ulipo una vidole sita mkononi na ushahidi sina.Huijui Marekani! Huwezi kutawala dunia kizembe! Silaha softcated ever ni za mmarekani!
Unajua walidumu Kwa muda Gani?🙌kuweka mapandikizi wake
Fix hiyoKweli hapo ni Area 51, OP?
Ni kweli sio Area 51, OP kaamua kudanganya.Sio Area 51 hapo, A51 huwa pako wazi with few airstrips na facilities kidogo ziko kwenye uzio kwa ajili ya testing of military aircrafts, missiles na silaha nyingine.
Hii kwenye picha ni boneyard ya AMARG, Tucson, Arizona. Ndegevita zikiwa retired zinapelekwa hapo for salvage or storage sababu humidity ni ndogo haziharibiki haraka.
Alafu mbona ulipotea sana. Unajua huwa nakukubali, kidogo nije kukusaka kwenye uzi wako wa vitabu
Ebu fuatilia majibizano ya China na World Hearth Organisation (WHO) kuhusu corona! China ilisema na kuwa na mashaka ya kwanini corona ilianzia China! WALISEMA ILITENGENEZWA USA.SOURCE: Trust me bro
Hivi umenielewa? sijakataa umiliki wa hizo zana, nakataa hiyo picha, area 51 haina picha kama hiyo, hakuna alowahi piga picha kwa ukaribu hivyo, kuna reason why inakuwa siri na imebaki kuwa kitendawili duniani.Huijui Marekani! Huwezi kutawala dunia kizembe! Silaha softcated ever ni za mmarekani!
Hasa wazungu na watu kutoka kile chama cha kijani wana roho mbaya hao!!!!yotehayo nikwaajili yakuua roho zawatu.saanyingine binadamu tunaroho mbaya sana.