USA: Hapa ndio polisi wameua mmoja tu, hali iko hivi ya maandamano. Wangekuwa watatu au zaidi unadhani ingekuwaje?

Kwa nini unasema wameua mmoja? Polisi US walishaua weusi wengi! Ni tabia ya miaka yote na nadhani ungekuwa makini, ungeelewa kwamba sababu ya maandamano siyo huyo mmoja, ni maandamano kupinga mfumo bahati mbaya ni mfumo wa rangi. Hili siyo suala la sheria, siasa, vyama, n.k.

Sifahamu kama unaelewa na kufahamu unachoongea hapa....

Ukitafuta na kuelewa maana ya "SIASA" utafungua ufahamu wako na kubadili namna ya kuchangia....

Iweje masuala ya watu kuandamana ili kupinga mfumo wa ubaguzi wa rangi isiwe ni masuala ya kisiasa?

That's pure politics...

Siasa ndiyo maisha. Siasa ndiyo inaamua mfumo wa maisha ya watu. Siasa ndiyo inaamua mifumo ya watu ya kiuchumi, kisheria, kielimu na mingine yote ya taifa lolote...

Wanachoandamania wamarekani sasa ni kupeleka ujumbe kwa watawala (wanasiasa) kuwa wanahitaji mabadiliko ya mfumo wa kisheria ktk masuala ya HAKI na USALAMA WA RAIA nk nk...

Kuuana binadamu duniani na hapa tunaongelea warekani ni jambo la kawaida na haijalishi anayekufa ni mtu mweupe (mzungu) ama mweusi....

Sana sana labda tunachoweza kukubaliana hapa ni tofauti ya "ratio". Lakini kwa vifo kama cha huyu mwafrika, hata wazungu wanakufa sana kwa wao kwa wao kuuana....

Na kusema hivi simaanishi wala kukataa kuwa hakuna ubaguzi kwa misingi ya rangi...

Upo, kama ambavyo hata katika nchi nyingi za Kiafrika upo kwa Waafrika kubaguana wao kwa wao kwa sababu mbalimbali. Yote hiyo ni siasa tu.....

Kifo cha huyo ndugu mmoja ni kwamba kimeleta msukumo tu watu kudai mabadiliko....

Kusema kinachoendelea sasa USA siyo mambo ya kisiasa, basi ni wazi kuwa wewe hujui maana ya "SIASA"....
 
Nasema tena NO! Huna sababu ya kuandika yote hayo na kutoa definition za siasa wakati hilo tunalifahamu kuliko hata wewe (huenda) juu ya kinachoendelea US. Ubaguzi wa US siyo suala la kisiasa, ni social-cultural problem! Kwamba sheria ipo tangu 60s, kwamba mweusi ameweza hata kuwa rais, pamoja na yote hayo mindset social understanding ya whites culture wanayokuwa nayo ni kuwaona blacks kuwa ni sub-human. Hapo siasa iko wapi?
 
Peace

101707535_3041502979274707_4661329135925198848_n.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema tena NO! Huna sababu ya kuandika yote hayo na kutoa definition za siasa wakati hilo tunalifahamu kuliko hata wewe (huenda) juu ya kinachoendelea US. Ubaguzi wa US siyo suala la kisiasa, ni social-cultural problem! Kwamba sheria ipo tangu 60s, kwamba mweusi ameweza hata kuwa rais, pamoja na yote hayo mindset social understanding ya whites cultuire wanayokuwa nayo ni kuwaona blacks kuwa ni sub-human. Hapo siasa iko wapi?

All it's okay. Kufahamu sana au kidogo kuliko mimi si hoja hapa....

Hiyo social - cultural problem inapaswa kuwa addressed kwa namna gani?...

Je, siyo kupitia SERA na SHERIA mbalimbali? Sera ndizo huleta watu pamoja ama kuwagawa kwa namna mbalimbali....

Huwezi kuli - address tatizo hilo pasipo kupitia mchakato ambao hutawakwepa wanasiasa....

Siasa ndiyo inaongoza maisha yetu ya kila Siku...

Ndiyo maana wahenga wakasema, ili tuendelee tunahitaji haya: SIASA SAFI, ARDHI, WATU na UONGOZI BORA....

Sielewi unapata ugumu gani kulielewa hili...

Na kwa taarifa yako, wanasiasa walishalivalia njuga tayari wakiwaponda wanasiasa walioko madarakani kwa sasa...

JOEN BIDEN (likely Democrat Presidential Candidate kwa uchaguzi wa 2020) ameshaanza kulitumia ipasavyo tatizo hili kisiasa kwa kukosoa sera za Donald Trump na Republican kwa ujumla namna wanavyoli handle jambo hili.....
 
rubbish!
 
Wazungu na unafiki ni chai na mkate
Wazungu hawana unafiki ka ka watanzania. Ndo maana kwenye maandqmano wameandamana hadi watu weupe, juzi alikqmatwa mtoto wa Meya wa jimbo kwenye maandamano kitu ambacho huku hakiwezi kutokea, hivi mtoto wa Meko andamane kupinga unyanyasaji wa polisi, labda Yesu aje kwanza
 
Meko ndio nan huyo?
 
Wameshawaua wengi sana. Labda sio mfuatiliaji tu. Hii ya sasa imekera zaidi sababu kauawa kwa mikono ya askari huku kamera zikishuhudia.
huku muuani akiwa kaweka mikono mfukoni, na mhanga anaomba msamaha.
 
Back
Top Bottom