USA na mkakati kuidhoofisha nchi za Gulf kupitia Iran

Lakasa chika7

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
510
Reaction score
1,337
USA hashindwi kumaliza vita na Iran kwa siku tano tu. Kama ameua so call Ayatollah kwa sekunde arobaini kuwapigq iran just a 5 days.

But kwa nini ana delay, lengo ana mprovoke iran ili aendelee kuwashanbulia jirani zake.

Unajua why....

Uchumi wa nchi za gulf umekuwa mkubwa sana hilo siyo zuri kwa USA.

Nchi . Nchi za gulf now days zimeanza kuwa na sauti sana...eti qatar ni wasuhulishi wa kongo..mara DP world nao wanachukua masoko ya dunia....mara Oman ni msuhulishi...never.

Nchi za gulf now zimeanza kuwa na mapembe...usa hawezi kubali..eti saudia naye yupo brexit...
Ufamle wake pretrodollar unaweza kupotea endapo akiruhusu nchi za gulf zikiwa na uchumi mkubwa.

Kifupi iran katumika bila kujua big time
1. Kuharibu uchumi wa mafuta kwa nchi za gulf ambapo usa kwa sasa hategemei sana mafuta hayo..usa kwake ana mafuta na now anayo ya Venezuela..mengine anapata Canada.

2. Nchi za gulf zikiwa na uchumi mbaya , lazma warudi kwa usa tena aendeleze utawala wake dolarisation .

3. China...alikuwa anapata pipa zaidi ya laki 9 Venezuela kwa siku pamoja 2m kwa iran ...amemtibulia...haya mafuta alikuwa ananunua kwa yuan...
So lazma aendelee kununua kwa dollar.

Usa hawezi kubali gulf ziwe na sauti...ameziendeleza zimejiona zimekuwa.
Mwisho

Iran Amersham anza piga magoti inasemekana amempa deal la usa la ku invest mafuta na gas ..

Watu wa dini hii siyo thread yenu.
 
Huenda uko sahihi.

Huenda pia Marekani kuimaliza hii Vita imekuwa tofauti na matarajio yake..

Nchi za Gulf hazikuwa zimeota mapembe kiasi Cha kuweza kuwa Tishio Kwa Marekani, ila Iran imekuwa Tishio Kwa Israel, na Huenda hii Vita Marekani ameiingia kwa shinikizo Kali kutoka Kwa Myahudi..

Na Huenda wameiingia hii Vita bila kuwa na Taarifa sahihi juu ya Uwezo wa Irani, na Huenda Sasa hivi wanahaha namna ya kukaa mezani na Muajemi ili wayamalize..

Huenda, tofauti na Mtazamo wako hii vita Ikamnufaisha zaidi mchina kuliko Mmarekani..
 
Huyu mtoa mada ni kichaa kweli USA kisha dharauliwa dunia nzima we unatuletea mawazo ya mtoto wa shule.

USA sa hivi yupo UN anaomba UN imsaidie kuhusu Iran we unatuletea viazi hapa.

Trump kawa kama kichaa hajui afanye vipi

Kwa hio USA kupeleka Carriers alienda kutengeneza Titanic hahahaha
 
Kaka, hizo story un achana nazo...
 
USA hashindwi kumaliza vita na Iran kwa siku tano tu. Kama ameua so call Ayatollah kwa sekunde arobaini kuwapigq iran just a 5 days.

But kwa nini ana delay, lengo ana mprovoke iran ili aendelee kuwashanbulia jirani zake.

Unajua why....

Uchumi wa nchi za gulf umekuwa mkubwa sana hilo siyo zuri kwa USA.

Nchi . Nchi za gulf now days zimeanza kuwa na sauti sana...eti qatar ni wasuhulishi wa kongo..mara DP world nao wanachukua masoko ya dunia....mara Oman ni msuhulishi...never.

Nchi za gulf now zimeanza kuwa na mapembe...usa hawezi kubali..eti saudia naye yupo brexit...
Ufamle wake pretrodollar unaweza kupotea endapo akiruhusu nchi za gulf zikiwa na uchumi mkubwa.

Kifupi iran katumika bila kujua big time
1. Kuharibu uchumi wa mafuta kwa nchi za gulf ambapo usa kwa sasa hategemei sana mafuta hayo..usa kwake ana mafuta na now anayo ya Venezuela..mengine anapata Canada.

2. Nchi za gulf zikiwa na uchumi mbaya , lazma warudi kwa usa tena aendeleze utawala wake dolarisation .

3. China...alikuwa anapata pipa zaidi ya laki 9 Venezuela kwa siku pamoja 2m kwa iran ...amemtibulia...haya mafuta alikuwa ananunua kwa yuan...
So lazma aendelee kununua kwa dollar.

Usa hawezi kubali gulf ziwe na sauti...ameziendeleza zimejiona zimekuwa.
Mwisho

Iran Amersham anza piga magoti inasemekana amempa deal la usa la ku invest mafuta na gas ..

Watu wa dini hii siyo thread yenu.
Pumba,

Nchi za Gulf ndio wawekezaji wakubwa Usa, Leo hii Una simu, laptop, graphics card etc sababu hao waarabu wakiuza mafuta wanawekeza Ulaya na Marekani, hizo hela zao ndio zinazipa Afya kampuni za west.

Uchumi wa Gulf ukifa directly unaathiri uchumi wa Usa,

Wamepigwa kidogo Tu waarabu tayari zaidi ya USD Trilioni 1 zimeshuka soko la hisa Marekani, Hali ikiendelea hivi Dola inaporomoka vibaya mno na haitakua tena default currency.
 
Huko USA wameisha wachoka wayahudi na wanaye wapo support wanambiwa waende front line wakawasaidie

View: https://youtube.com/shorts/Cm7LKMQOfjA?si=3M-TTDXmTXWb4jYr
 
Text not clear to many
Even to your self 😁,
Yani haiwezekani uhalisia unaonekana ule pale lakini kutokana na Propaganda tunazomezeshwa bado mnaendelea kuukimbia ukweli.
Hii vita USA na Israel wamesha shindwa, vita sio kurusha kombora tu na kuua Khaminey, no vita ni malengo.
Malengo ya USA na Israel ni kubadili mfumo wa uongozi wa Iran kwakuwa hauwapi nafasi ya kupata fursa za kiuchumi na nitishio kwa Taifa la Israel.
Israel sio taifa teule kama tunavyolishwa wale hawana uteule wowote project zao ni zakishetani hata shetani mwenyewe anawaheshimu,.
Israel ile ni largest economic and strategic project ya USA middle East kama ilivyokuwa Turkey hasa kipindi kile cha cold war. 🙏
 
Blaah blaah,huko kunapigwa mwanzo,mwisho nyie mpo na hadith za alinacha.
Trump analeta story nnapumzisha vita.
Kule Iran ni kipigo tu toka kwa hawa mnawaita wazayuni.
Wanapiga hadi mende
 
Ebu tusaidie kutuambia ni nguvu gani ambayo Marekani hajaitumia mpaka sasa ambayo unahisi akiitumia anaweza kumaliza vita ndani ya siku 5 hizo unazo sema?
Hivi kwanza kabla ya kuropoka unajua umuhimu wa nchi za ghuba kwenye uchumi wa Marekani?
 
Marekani hajatumia hata nusu ya silaha zake...mfano icbm....hajapeleka hata wanajeshi ardhini
 
Hna silaha mpya kamaliza hapo ,imebaki nuclear ..Acha uongo😅😅zile ndege zake B-2 zinaparaza tu tangu mwaka jana ,zimeshindwa hizo blockbuster ni kiande labda kupiga kwenye majengo.

Kwa taarifa yako ,sasa kuna ndege mpya wameforce itengenezwe fasta ...zile B-2 zimeshindwa zaidi ya kuweka vumbi kwenye milango ya maandaki..Unataka kusema nn hapo?
 
Marekani hajatumia hata nusu ya silaha zake...mfano icbm....hajapeleka hata wanajeshi ardhini
Ninakubaliana na wewe kuhusu silaha lakini suala la kupeleka wanajeshi ardhini linaonyesha hufaham stratejia za vita.

Hivi unahisi kwa kipindi hiki kuna infantry solder yeyote anaweza kusogea Iran?
Kama USA Fighter jets F-35 zinadondoshwa vipi kuhusu infantry solders?
 
Back
Top Bottom