Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 510
- 1,337
Kaka, hizo story un achana nazo...Huyu mtoa mada ni kichaa kweli USA kisha dharauliwa dunia nzima we unatuletea mawazo ya mtoto wa shule.
USA sa hivi yupo UN anaomba UN imsaidie kuhusu Iran we unatuletea viazi hapa.
Trump kawa kama kichaa hajui afanye vipi
Kwa hio USA kupeleka Carriers alienda kutengeneza Titanic hahahaha
Hizi ngonjera zako za Inasemekana peleka kwa watoto wenzako huko fesibuku,Inasemekana amempa deal la usa la ku invest mafuta na gas ..
Sawa hi ndio zawadi kapewa TrumpKaka, hizo story un achana nazo...
Pumba,USA hashindwi kumaliza vita na Iran kwa siku tano tu. Kama ameua so call Ayatollah kwa sekunde arobaini kuwapigq iran just a 5 days.
But kwa nini ana delay, lengo ana mprovoke iran ili aendelee kuwashanbulia jirani zake.
Unajua why....
Uchumi wa nchi za gulf umekuwa mkubwa sana hilo siyo zuri kwa USA.
Nchi . Nchi za gulf now days zimeanza kuwa na sauti sana...eti qatar ni wasuhulishi wa kongo..mara DP world nao wanachukua masoko ya dunia....mara Oman ni msuhulishi...never.
Nchi za gulf now zimeanza kuwa na mapembe...usa hawezi kubali..eti saudia naye yupo brexit...
Ufamle wake pretrodollar unaweza kupotea endapo akiruhusu nchi za gulf zikiwa na uchumi mkubwa.
Kifupi iran katumika bila kujua big time
1. Kuharibu uchumi wa mafuta kwa nchi za gulf ambapo usa kwa sasa hategemei sana mafuta hayo..usa kwake ana mafuta na now anayo ya Venezuela..mengine anapata Canada.
2. Nchi za gulf zikiwa na uchumi mbaya , lazma warudi kwa usa tena aendeleze utawala wake dolarisation .
3. China...alikuwa anapata pipa zaidi ya laki 9 Venezuela kwa siku pamoja 2m kwa iran ...amemtibulia...haya mafuta alikuwa ananunua kwa yuan...
So lazma aendelee kununua kwa dollar.
Usa hawezi kubali gulf ziwe na sauti...ameziendeleza zimejiona zimekuwa.
Mwisho
Iran Amersham anza piga magoti inasemekana amempa deal la usa la ku invest mafuta na gas ..
Watu wa dini hii siyo thread yenu.
Akili zake kama za TrumpMcha_Mbuzi kutoka kijiwecha kahawa Kibaigwa
Huko USA wameisha wachoka wayahudi na wanaye wapo support wanambiwa waende front line wakawasaidiePumba,
Nchi za Gulf ndio wawekezaji wakubwa Usa, Leo hii Una simu, laptop, graphics card etc sababu hao waarabu wakiuza mafuta wanawekeza Ulaya na Marekani, hizo hela zao ndio zinazipa Afya kampuni za west.
Uchumi wa Gulf ukifa directly unaathiri uchumi wa Usa,
Wamepigwa kidogo Tu waarabu tayari zaidi ya USD Trilioni 1 zimeshuka soko la hisa Marekani, Hali ikiendelea hivi Dola inaporomoka vibaya mno na haitakua tena default currency.
Even to your self 😁,Text not clear to many
Marekani hajatumia hata nusu ya silaha zake...mfano icbm....hajapeleka hata wanajeshi ardhiniEbu tusaidie kutuambia ni nguvu gani ambayo Marekani hajaitumia mpaka sasa ambayo unahisi akiitumia anaweza kumaliza vita ndani ya siku 5 hizo unazo sema?
Hivi kwanza kabla ya kuropoka unajua umuhimu wa nchi za ghuba kwenye uchumi wa Marekani?
Hna silaha mpya kamaliza hapo ,imebaki nuclear ..Acha uongo😅😅zile ndege zake B-2 zinaparaza tu tangu mwaka jana ,zimeshindwa hizo blockbuster ni kiande labda kupiga kwenye majengo.Marekani hajatumia hata nusu ya silaha zake...mfano icbm....hajapeleka hata wanajeshi ardhini
Ninakubaliana na wewe kuhusu silaha lakini suala la kupeleka wanajeshi ardhini linaonyesha hufaham stratejia za vita.Marekani hajatumia hata nusu ya silaha zake...mfano icbm....hajapeleka hata wanajeshi ardhini
Mbona alishindwa Vietnam na Cuba, na Korea. US sio invicible mbona huko Ukraine ameshindwa msaidia Zelensky kuyakomboa majimbo yake?USA hashindwi kumaliza vita na Iran kwa siku tano tu. Kama ameua so call Ayatollah kwa sekunde arobaini kuwapigq iran just a 5 days.
Hata Iran hajapeleka askari wa miguu huko UAE au Israel ingeshakua habari nyingineMarekani hajatumia hata nusu ya silaha zake...mfano icbm....hajapeleka hata wanajeshi ardhini