Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Trump tuko pamoja na wewe piga kazi baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
US haikuwahiTrump anajitoa kwenye organs nyingi za UN, ngoja tuone...
Haya ni maandishi matakatifu👉Ila huyu msela Trump ataivuruga hii nchi muda mchache ujao
Kwa jicho la kiroho hizi ishara za kurudi kwa Kristo.Haya ni maandishi matakatifu👉
Soma kitabu cha Daniel 5:25-28 pamoja na Daniel 6:25-28
Mene Mene Tekel Persin
Kwa wale wanaoeza kuona "Theme" ama kutambua kuna mambo yanayojirudia Duniani, utaelewa.
- Mene: ina maana 'siku zake zinahisabika
- Tekel: Neno hili linaweza tafsiriwa kana "umeshitakiwa na umekutwa na hatia"
- Peres: neno hili nalo laweza tafsiriwa kana "Ardhi yako imegawanywa, na na kupewa wageni"
Nisikuchoshe.
Neno Mene:
linamgusia Donald Trump, ama wanavyomuita wenyewe, Dictator or Tyrrant Trump. Kulingana na matamko mengine, huenda huyu bwana siku zake zinahesebika. Kiuhalisia, ana miaka minne. Either or siku zake zinahesebika.
Neno Tekel: linamgusa Benjamin Neta Nyau, Netanyahu kesha hukumiwa kwa mauaji ya halaiki-Genocide na ni mwalifu kulingana na sheria za kimataifa.
Na Peres linawagusa Wapalestina. Wapalestina ardhi yao inaenda kumegwamegwa kama chapati. Trump akiwa na Netanyahu America na Israel wanaenda kugawana ardhi ya Mpalestina.
Sagai, Trump kesha vuruga, Netanyahu kesha vuruga na Wapalestina na makabwela wengine huku tushavurugwa.
Cyrus the Great, naye alishawahi kutoa executive order, ya kuwarudisha wa Israeli quote unquote to their homeland. Huyo ni kama Netanyahu.
Darius the Great, nae alitoa Decree ya kuunga mkono juhudi za kuwarudisha wa Israel kwenye ardhi ya watu. Huyu ndie Trump.
Darius na Cyrus ni kama hawa Viongozi wa sasa. Trump na Netanyau
Trump ataivuruga sio nchi yake tu, bali na dunia na siasa zake kamavile Netanyahu anavyoivuruga mashariki ya kati.
=====
sasa rejea barua ya Darius kwenye biblia, utaona paralels.
Naam, zaweza kuwa ishara hizo, lakini haya yanayotokea, yanatokea in real time.Kwa jicho la kiroho hizi ishara za kurudi kwa Kristo.