USA tells Russia : If you are wise America is a phenomena to avoid in war, if you want war with USA prepare someone to raise your Children

Aah aah bado haujajua maana ya vita.,msako, operetion, mikwara, washawasha n.k


Eti lebanon... Dah

Elimu ya darasani inavuruga saana vijana wetu.... Mtu anameza anakuja kutema kamaliza.

Na hapo ana uhakika kabisa anavimba
Wewe unayejua kiko wapi ulichoandika zaidi ya show off?
Au unadhani walikuwa wanaenda na bunduki za maji battlefield.
 
Lengo hasa la Putin anaogoppa kuwa jirani na Ukraine iliyofanikiwa kuwa na demokrasia ya magharibi na uchumi wa kiwango cha EU. Atashindwa kupiga propaganda kwa raia wake kuhusu ufisadi. Ni kama Tanzania ingekuwa jirani na Afrika ya Kusini. Porojo za maflyover zisingelipa. Ukraine ilikataliwa kuwa mwanachama wa NATO na wameshakubali hilo.

Nchi za Latvia, Estonia na Turkey ziko mpakani. Poland, Lithuania, Romania na Bulgaria ziko jirani kabisa. Sweden na Finland wametangaza nia ya kuomba kujiunga NATO. Urusi itakimbilia wapi kuikwepa NATO.

Halafu Putin anatetea mlengo gani wa kisiasa na kiuchumi ilhali makampuni ya mabepari wa US na EU wamewekeza mitaji kibao huko Urusi? Ukomunisti ulishajifia tangu 1990. Ma-oligarchs wa Kirusi wamelundika pesa zao za kifisadi kwenye mabenki na properties huko US na EU. Nani angetaka kuishambulia Urusi? Tishio la leo kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia ni China.
 
Nimeangalia video sijaona sijasikia hicho kingereza cha kwenye heading yako
 
Shida yetu ni kudhani tunayajua malengo yao ya vita kuliko wao wanaoenda vitani. Kuna vita haziwi kabisa na lengo la kushinda, bali kutimiza wanachotaka. Wakimaliza wanarudi makwao wanawaachia magofu
Ndo maana tunatakiwa kulaani na kupinga uvamizi bila kuchagua upande.
 
Ni sual la Muda hii peg haiwezi endelea mpaka mwaka kuisha , mpaka mwaka unaisha Ruble hapa itafika 150+ per usd
 
Jana msafara mmoja umefika na wamepewa ma drones na vitu kadhaa haujaguswa
 

Hii ni porojo kama porojo zozote tunazozifaham, hakuna lolote hapo. Labda baada ya kushondwa vita itumike Nuke kama ilivyofanywa Japan. Vinginevyo ni maneno tu hayo ambazo ni Propaganda. Hakuna cha vita wala mjuu wa vita
 
Afghanistan kapigwa na nani?... Punguzaga mahaba kuna mimba za uzeeni USA alienda Afghanistan kwa malengo yametimia wameondoka kuna sehemu yoyote USA ataikalia Afghanistan milele?

Malengo gani yaliyotimia Afghastan, acha uongo. Malengo gani yalitimia Iraq?
 

Uongo mtupu
 
Ni kweli Marekani vita ya Vietnam Haku fanikiwa kuchukua kijiji hata kimoja... Vita ambavyo Marekani Alipigana baada ya vita ya pili ya kwa mafanikio ni Iraq tu napo alitumia takribani siku 38 kuiangusha Baghdad peke yake..... Urusi walionya mtu atakae ingilia vita atakiona cha moto mpaka Sasa hakuna nchi hata moja ilioingilia vita na nategemea mpaka urusi atafanikiwa anachokitaka Ukraine hakuna atakae fanikiwa,.. 2008 urusi alivamia Georgia USA ma wa shirika wake waliishia kupiga mdomo na kutoa silaha mpaka vita inakwisha... Mkuu mimi sio shabiki wa urusi na Marekani ila unapoona mbane mwenzio anamuonea mdhaifu inabidi umsaidie mdhaifu kwa mikwara ya mbali maana unajua uwezo wa mbabe mwenzio na ukiruhusu kumwingilia mtaishia kuumia wote.... Marekani na urusi Hawa wote ni super powers,. Amna wakumzingua mwenzie wanaogopana japo urusi huwa Hawana porojo nyingi uwa w anafanya vitendo zaidi
 
kumbe watu wanamuonea mmarekani kumsingizia kuwa anavamia na kuzibonda nchi za wenzake kama anavofanya mrusi leo wakati anabondwa yeye mpaka anakimbia
 
kumbe watu wanamuonea mmarekani kumsingizia kuwa anavamia na kuzibonda nchi za wenzake kama anavofanya mrusi leo wakati anabondwa yeye mpaka anakimbia
Huwa ana shindwa lakini huwa anaacha uharibifu na mauaji makubwa.
Hata Urusi akishindwa Ukraine bado maafa aliyo yaacha Ukraine yatadumu kwa muda mrefu sana.
 
Ukraine yenye nguvu kijeshi ni hatari kwa Urusi kwanini? Urusi ina nguvu kijeshi, ni hatari kwa majirani zake? Ni sahihi nao wakitafuta namna ya kujilinda nae?
Urusi na Marekani Ni mataifa yenye hadhi kuu kwenye uga wa kimataifa. Na ndo maana Sera zao za Mambo ya nje Ni pamojA na Vita dhidi ya adui yeyote hata akiwa mbali kwa kiasi gani.
 
Wanakaza fuvu kuelewa hili?
 
Wafursi hawakushirki Vita ile ya Us chini ya Marekani licha ya uadui wait dhidi ya sadam
 
China so adui wa us kijeshi zaidi ya Urusi labda kiuchumi. Silaha nyingi za kichina hasa madege Ni Russian made, modernized Russian made ama lincesed but nyingi origin yake Ni Russia.nb hata aircraft carrier ya kwanza ya kichina Ni yenye asili ya kisovieti.
So China so adui namba moja wa us kijeshi Bali Russia coz anapose direct threat kws babalao US
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…