RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,155
Taja vita yeyote ya ardhini aliyo pigana Marekani na washirika wake wakashinda tofauti na vita ya Iraq pamoja na huo uchumi wake.Vita ni uchumi na mwenye uchumi mkubwa ndiye Huwa mshindi wa vita ipo hivo tangu kuumbwa kwa Dunia ,mfano Babel na Rumi zilitawala Dunia kwa Sababu ya uchumi wao ulikuaga mkubwa,kwa hiyo Urusi hawezi shindana na Marekani kwa Sababu hiyo ya uchumi na anaebisha ni wa kumuonea huruma tu.
Sent using Jamii Forums mobile app