USA tells Russia : If you are wise America is a phenomena to avoid in war, if you want war with USA prepare someone to raise your Children

USA tells Russia : If you are wise America is a phenomena to avoid in war, if you want war with USA prepare someone to raise your Children

Vita ni uchumi na mwenye uchumi mkubwa ndiye Huwa mshindi wa vita ipo hivo tangu kuumbwa kwa Dunia ,mfano Babel na Rumi zilitawala Dunia kwa Sababu ya uchumi wao ulikuaga mkubwa,kwa hiyo Urusi hawezi shindana na Marekani kwa Sababu hiyo ya uchumi na anaebisha ni wa kumuonea huruma tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Taja vita yeyote ya ardhini aliyo pigana Marekani na washirika wake wakashinda tofauti na vita ya Iraq pamoja na huo uchumi wake.
 
US aliona haina faida akaamua kuongea nao awaachie nchi na ndio maana hata walipokuwa wakiingia US alijua ila akaona aondoke, angetaka kutooondoka angebakia na hakuna ambalo lingefanyika maana uwezo alikuwa nao wa kuwa annihiliet
Mbona Urusi alipo jiondoa kiev kwa makubaliano ya Ukraine kukubali baadhi ya masharti ya Urusi kwenye rasimu ya amani mlikuja kwa kasi mara Urusi kashidwa vita.
 
Ujumbe wa utangulizi.. Hii inaitwa fungua njja kuna kitu kinakuja.. Wanamsubiri Putin achoke kisha waanze kumcharaza
Russia sio Iraq hivyo hakuna kitu kinaitwa kuchoka, bali ni taifa kubwa lenye nguvu sawasawa na USA.
Hapa vita ikianza hakutakuwa na mshindi bali mwisho wa dunia na mataifa yote mawili.

Russia ndio taifa lenye Nuclear Weapons kubwa na nyingi duniani zaidi ya 6000, na hakuna nchi itakayojaribu kwenda direct kwake hasa USA kwa usalama wa dunia nzima.
 
Kile kichapo alichokipata kule Vietnam ilikuwaje Sasa?
Alisikika akisema Mkuu wa majeshi ya Marekani

Anasema Marekani ni Taifa kuliko watu wanavyodhani anasema huu ujumbe nadhani Urusi, Iran, IS na North Korea wanaangalia , Kama una akili timamu amerika ni Nchi ya kuikimbia kwenye vita maana imeona vita, imecheza vita na unajua vita na haipendi vita Lakin ukipenda vita na marekani andaa wa kulea watoto wako maana hutabaki salama! Vita siyo sehemu ya maonesho ya Bunduki Kwa amerika bali ni vitendo
Mbona walikimbia huko Afghanistan ?
 
Humu watu ni wajuaji kwa vitu ambavyo hawajui .Hii Dunia ni Mali ya Marekani na Israel tunatakiwa kujua hivo kwa Sababu wanafanya chochote wapendacho na haukuna mtu wa kuwazuia na pia Kumbukeni NATO ni Mali ya USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujuaji mnao nyinyi mnao shinda humu kuinanga Urusi sijui imedhindwa kuiteka Ukraine kwa hiyo ni dhahifu,eti ilitakiwa kuiteka Ukraine ndani ya wiki utadhani vita ni kucheza ngoma.

Tume wawekea mifano ya vita ambayo Marekani alishindwa kwa aibu tena na vijitaifa masikini kabisa ili mtambue ya kwamba vita sio kitu rahisi kama mnavyo fikiri, maana mnataka kuzidi kila saa kuanzisha vinyuzi uchara kuiponda Urusi.

Na siku Marekani akijidanganya kuivamia Iran ndo atakumbana na aibu ya karne.
 
Nimekuambia baada ya vita ya pili ya dunia.
Alafu hata kwa Japan alikuwa amesha kula kichapo cha maana ndio maana akakimbilia kutumia nyukilia.
Yale machuma yenu vp?
 
Duh hiyo huitwa psychological war fare unapigwa kwa maneno ushundwe moyoni kabla ya uwanjani vitani.
Kwa hiyo wale wadada na wamama wa mitaani wanaoshinda kwenye vigodoro wanapigana psychological war fare?
Kwa mantiki yako unamaanisha USA ni shangingi tu anayebweka bila vitendo.

Acha utani huwezi kumtisha Russia kwa maneno kama unaongea na burundi.
 
Unajuwa anacho kisema anamanisha USA hawalali na wana jeshi hatari sana kiasi wanajiogopa. Uwezo wao wakingukilia ni hatari kiasi wanaweza kuifuta china na Russia ktk uso wa dunia kwa wakati mmoja this guy ni nyoko....
Punguza kusoma propaganda na kuangalia too much of hollywood flicks.
Kama unazungumzia Nuclear basi tambua Russia ndio inaongoza kwa kuwa na wingi na ukubwa wa warheads.
 
Amewaonyaa kuwa...

Tunawaona Urusi China North Korea tuna wanyamazia tuu...
Wakidhani tunaogopa vita.
Vita tuna ijua...

Dadekiii vitaa hiyoo ya Tatu
 
Hivi ww ni mfuatiliaji wa siasa za dunia kweli ?

Tangu kumalizika kwa vita ya pili ya dunia vita pekee ambayo Marekani alishinda ni vita ya Iraq tu , na hapo ni sababu tu Urusi haikuingilia hivyo vita sababu kipindi hicho ilikuwa dhahifu kwa maana hiyo Iraq ilikosa msaada kutoka nje tofauti na hapo tungeongea mengine.

Na mbaya zaidi hakuwa peke yake alikuwa na rundo la maswahiba wake.

Huko kwingine aliishia kupata kipigo na kukimbia kama paka mwizi kuanzia Vietnam alipigana zaidi ya miaka 8 lakini alishindwa kuteka hata kijiji mwisho anakimbia kwa aibu , akaja somalia kilicho mkuta hatosahau, akaja Afghanistan kapigana miaka 20 lakini kashindwa na kikundi cha wahuni wavaa kubanzi wakatoka nduki.
Kikundi cha wahuni wavaa kubazi kilimfurusha sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kinachowapa jeur americans ni pesa... Anaweza pigana vita miaka 10 na bao uchumi wake ukasimama.. sasa wew unaepigana nae utaweza simama..?
Bajet ya jeshi la marekan kwa mwaka ni 800bil$ wakat rusia ni 90bil$ kwa mwaka
Sure
 
Hivi ww ni mfuatiliaji wa siasa za dunia kweli ?

Tangu kumalizika kwa vita ya pili ya dunia vita pekee ambayo Marekani alishinda ni vita ya Iraq tu , na hapo ni sababu tu Urusi haikuingilia hivyo vita sababu kipindi hicho ilikuwa dhahifu kwa maana hiyo Iraq ilikosa msaada kutoka nje tofauti na hapo tungeongea mengine.

Na mbaya zaidi hakuwa peke yake alikuwa na rundo la maswahiba wake.

Huko kwingine aliishia kupata kipigo na kukimbia kama paka mwizi kuanzia Vietnam alipigana zaidi ya miaka 8 lakini alishindwa kuteka hata kijiji mwisho anakimbia kwa aibu , akaja somalia kilicho mkuta hatosahau, akaja Afghanistan kapigana miaka 20 lakini kashindwa na kikundi cha wahuni wavaa kubanzi wakatoka nduki.

Hata Iraq sio ushindi. Bado hali ni mbaya. Lakini jua hizo ni vita zinazopiganwa mbali nje ya USA. Lengo la Marekani sio kuzikalia hizo nchi bali kufanikisha interest zao maalum ambazo ni kuvuruga tawala hasimu na vikundi vya magaidi. Kwao haijalishi kama wameshinda au hawakushinda pambano.

Lengo kubwa sana ilikuwa kuua ukomunisti duniani. Leo angalia Urusi, China, Vietnam hata huko North Korea. Ukomunisti ulitoweka na himaya ya USSR ikafa. Urusi imebakia na udikteta na crony capitalism. Angalau China wana mfumo imara wa kidikteta kusimamia uchumi wa soko. Vietnam ni mabepari kamili. Wote uchumi wao unategemea mahsiano na nchi za Magharibi.
 
Back
Top Bottom