othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Ulitaka kusema wanamaji wa USA walikamatwa na wanamgambo wa iran au sioSasa kama wangekua wanaweza kwanini wasingegoma
Kama kukamatwa hata wanamgambo wa marekani walidakwa na wanamaji wa iran huko ghuba kwamadai hayo hayo kwamba wamevuka mstari wa maji wa iran wakiwa na silaha nawakapigishwa magoti na wakaambiwa waite jua na wakatii
Sasa ajabu super power anadhalilika namna hiii na maskini kamaniran ambae hata kula hana kama ulivyodai kule juu
Vyovyote vile ila marine wa Americant walidakwa na vikosi vya iran na wakapigishwa magoti na wakaambiwe waite jua na wakaita yaaaniUlitaka kusema wanamaji wa USA walikamatwa na wanamgambo wa iran au sio
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kumbe America alitumia nyuklia kule Iraq. Nilikua sijui asee...Kumbe bado wamebakisha ukitaka kushinda vita tumia nyuklia kama sio kweli muulize mjomba ako Americant
Kiasi usijueKumbe America alitumia nyuklia kule Iraq. Nilikua sijui asee...
Enkhe kwahiyo NATO ikatumia nyuklia pale Iraq?!,😂😂😂Kiasi usijue
Iraq haikupigwa na Americant iraq ilipigwa na umoja wa kujihami wa nchi za magharibi almaarufu kama NATO
Narudia tena hakuna vita Americant kapigana akashinda bila kutumia nyuklia kama ipo niletee hapa
Nakuuliza swali kwamara ya mwishoEnkhe kwahiyo NATO ikatumia nyuklia pale Iraq?!,[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mbona maswali yako yote hayana msingi. Rejea hoja yako ya kwanza majibu utayapata hapo.Nakuuliza swali kwamara ya mwisho
Nitajie vita ambayo marekani kapigana bila nyuklia akashinda
Wapi nilikwambia NATO katumia nyuklia kijana
Mkiambiwa muwe na hoja kwa kufatilia majambo munabisha
Hakuna vita Americant kashinda bila kutumia nyuklia kama ipo ilete hapa tuione ukiileta naleft
Hakuna swali lisilokua na msingi wewe ndio huna msingiSasa mbona maswali yako yote hayana msingi. Rejea hoja yako ya kwanza majibu utayapata hapo.
Tunaongea mambo ya maana wewe unaleta upuuzi hapa.magufuli aliyapenda sn haya mavituu...alikuwa atuletee dubwasha mojaa
Nimecheka sana.Una hoja gani we mvaa kobazi kajitwarishe ukapige adhana uamshe majini yenu muende gaza mkapigane vita
Kwenye tech China yupo mbele kuliko US, wewe ni mwehu.Wewe elewa tu kwenye marathon ya technology China yupo front US anafuata nyuma
Mkuu China ni mwanafunzi mtiifu wa US, US ndie mkufunzi wa China.Ukijua china alikotoka ukaelewa amezipita nchi ngapi hadi sasa kuwa ndiye mshindani wa marekani basi huwezi kuwa na shaka kuwa huenda baada ya miaka kadhaa atamshinda.
Sidhani hata UK kama wana hiyo carrier kama ya mchina
Kwani vita ya Ukraine US wameishinda? Vipi Syria wamefanikiwa kumtoa Bashir.Mkuu China ni mwanafunzi mtiifu wa US, US ndie mkufunzi wa China.
Leo hii unaona China hana ubabe wa kipuuzi kijeshi kama Russia na North Korea sababu wamestaarabika, wamefunzwa vita ni upuuzi ila uchumi ndio kila kitu.
Uchumi wa China inaweza ikafika 70% kutokana na uwekezaji wa wazungu hapo China.
China sio mjinga kutomuunga mkono Russia hapo Ukraine, wala sio mpumbavu kukataa kuivamia Taiwan.
Japan iliipiga China ikaikalia kwa nguvu Manchukuo, hiyo ni sehemu ya People's Republic of China (Taiwan)?. Au unataka kusema kwamba Manchukuo iliwahi kuwa sehemu ya Taiwan.Japan aliipiga Republic of China (ROC) sio People's Republic of China (PRC)
Japan iliipiga China ikaikalia kwa nguvu Manchukuo, hiyo ni sehemu ya People's Republic of China (Taiwan)?. Au unataka kusema kwamba Manchukuo iliwahi kuwa sehemu ya Taiwan.
Kwamba hata Nanjing massacre nayo ilitokea Taiwan.
Kwahiyo mkuu Japan haikuwahi kuipiga China?
ROCKwahiyo mkuu Japan haikuwahi kuipiga China?