USA wako tayari kutawaaliwa na babu kizee wa miaka 100 ila sio kutawaliwa na mwanamke,tuamke

USA wako tayari kutawaaliwa na babu kizee wa miaka 100 ila sio kutawaliwa na mwanamke,tuamke

Mimi sio mbaguzi wa jinsia
Ila hata hapo nyumbani kwako mkeo akishika usukani wa kuongoza familia ujue familia itayumba tu

Sio mpango wa Mungu mke kumtawala mume
We bwege hujawahi kuwa na akili, USA ndio nchi pekee unayoifahamu hp duniani? Hujasikia hbr za Iron lady(Magreth Thatcher ) waziri mkuu wa UK?, na je vile vile hujasikia kuhusu Angel Merkel Kansela wa muda mrefu wa Ujerumani? Umemdharau mpk mamako we mbwa koko. Samia ktk uongozi amewazidi wanaume wote waliowahi kuwa marais.
 
A
unatumia nguvu ku promote kitu/jambo usilolifahamu.
Msamehe bure ni dada angu hana shida ni ujauzito tu unamsumbua na imani atajifungua salama ataacha na hasira zake, muhimu anywe maji mengi na kuhudhuria clinik ajili ya ushauri zaidi namna bora ya kulea ujauzito, tuna tamani kama nchi tupunguze haswa vifo vinavyotokana na uzazi kwa wa mama na watoto wao.
 
Mimi sio mbaguzi wa jinsia
Ila hata hapo nyumbani kwako mkeo akishika usukani wa kuongoza familia ujue familia itayumba tu

Sio mpango wa Mungu mke kumtawala mume
Mkuu mbona akitoka Trump madarakani, Rais ajaye wa US atakuwa mwanamke
 
Swala, sio jinsia, ni, Sera,
Suala ni uwezo, haya huyu wetu tukiacha jinsia...ana uwezo gani wa kiuongozi?
Masuala kibao hana uelewa nayo!.
Huyu anapigiwa chapuo na kakikundi kadogo ka watu wanaofaidika na mapungufu yake...ila wananchi wa kawaida ground hawamuelewi!!.
 
Mimi sio mbaguzi wa jinsia
Ila hata hapo nyumbani kwako mkeo akishika usukani wa kuongoza familia ujue familia itayumba tu

Sio mpango wa Mungu mke kumtawala mume
Mbona haujiamini na maoni yako? Unafanya uonekane kama unachokisema hakipo. Ongea kwa kifua cha kiume kuwa hiki ninachokisema ndicho chenyewe no need ya kuomba msamaha,why unakuwa apologetic kwenye ukweli?🤔
 
Huna hoja , ni kama umemuandikiandemu wako message.
US wanampa yule wanaona anafaa, wako makini sana. Hawateui jinsia but potential
Hillary Clinton, Kamara Harris, mmmmmmmmmn kwamba hao wote walichomolewa kwa bahati mbaya?
Mzee, ndio waliochampion haya mambo ya haki sawa,na wanajua dhamira au malengo yake nyuma ya pazia. Unadhani wao ni wajinga wanywe sumu wanayoitega kwa wengine?🤔
 
We bwege hujawahi kuwa na akili, USA ndio nchi pekee unayoifahamu hp duniani? Hujasikia hbr za Iron lady(Magreth Thatcher ) waziri mkuu wa UK?, na je vile vile hujasikia kuhusu Angel Merkel Kansela wa muda mrefu wa Ujerumani? Umemdharau mpk mamako we mbwa koko. Samia ktk uongozi amewazidi wanaume wote waliowahi kuwa marais.
Umesoma wapi ameongelea UK? Ameongelea United States of America,hajasema popote United kingdom au Germany.
 
Back
Top Bottom