USA wako tayari kutawaaliwa na babu kizee wa miaka 100 ila sio kutawaliwa na mwanamke,tuamke

We bwege hujawahi kuwa na akili, USA ndio nchi pekee unayoifahamu hp duniani? Hujasikia hbr za Iron lady(Magreth Thatcher ) waziri mkuu wa UK?, na je vile vile hujasikia kuhusu Angel Merkel Kansela wa muda mrefu wa Ujerumani? Umemdharau mpk mamako we mbwa koko. Samia ktk uongozi amewazidi wanaume wote waliowahi kuwa marais.
Kawazidi kwa kipi uchawa au ujinga
 
Swala, sio jinsia, ni, Sera,
Issue ni jinsia,mwanamke hata awe na madaraka kiasi gani hawezi kujisimamia sababu always hayaamini maamuzi yake hivyo lazima atafute mwanaume wa kushauriana nae kifamilia atamtafuta mume kikazi atawatafuta wanaume,shida inakuja pale anapokuwa anashauriwa na wanaume wa hovyo na wezi.

Ukitaka kuamini maneno yangu hata mkeo nyumbani akimuadhibu mtoto ukirudi lazima atamshtakia tena kwako kwa mara nyingine,angekuwa anajiamini kwanini akwambie kama anajua alishatoa adhabu?hii inatokana na anahisi alivyomuadhibu sivyo ilivyopaswa so anaamini ukimuadhibu wewe ndiyo mtoto atanyooka.
 
Suala ni uwezo, haya huyu wetu tukiacha jinsia...ana uwezo gani wa kiuongozi?
Masuala kibao hana uelewa nayo!.
Huyu anapigiwa chapuo na kakikundi kadogo ka watu wanaofaidika na mapungufu yake...ila wananchi wa kawaida ground hawamuelewi!!.
Kuna watu hoja zao hadi unawaza huyu mtu kama ni mwanaume huko nyumbani kwake ana influence ya aina gani kwa watoto wake na mkewe.

Yaani mtu na mapumbu yake anasifia mwanamke utadhani yeye ndio mwanamke mwenyewe sasa.
 
Clinton Hilary alipata Popular Votes kiasi gani ukilinganisha na Trump ? Yaani waliompiga Kura Trump na Clinton waliokuwa wengi ni kina nani ?!!!!

By the way unatafuta watawala na sio viongozi ?

Issue ni jinsia,mwanamke hata awe na madaraka kiasi gani hawezi kujisimamia sababu always hayaamini maamuzi yake hivyo lazima atafute mwanaume wa kushauriana nae kifamilia atamtafuta mume kikazi atawatafuta wanaume,shida inakuja pale anapokuwa anashauriwa na wanaume wa hovyo na wezi.

Ukitaka kuamini maneno yangu hata mkeo nyumbani akimuadhibu mtoto ukirudi lazima atamshtakia tena kwako kwa mara nyingine,angekuwa anajiamini kwanini akwambie kama anajua alishatoa adhabu?hii inatokana na anahisi alivyomuadhibu sivyo ilivyopaswa so anaamini ukimuadhibu wewe ndiyo mtoto atanyooka.
Wanataka kutest vitu vya kipumbavu ambavyo madhara yake yanatugharimu sote. Saa hii taifa linaendeshwa na ratiba za hovyo kuwahi kutokea dunia hii.
 
mbowejames-20240324-0001.jpg
 
Issue ni jinsia,mwanamke hata awe na madaraka kiasi gani hawezi kujisimamia sababu always hayaamini maamuzi yake hivyo lazima atafute mwanaume wa kushauriana nae kifamilia atamtafuta mume kikazi atawatafuta wanaume,shida inakuja pale anapokuwa anashauriwa na wanaume wa hovyo na wezi.
Cleopatra; Thatcher, Angela Dorothea Merkel to name just a few...

Nachofanya hapa ni kuwaweka sawa mkija na point fulani muwe tayari kutetea hoja zenu.., kwa factual points na sio kuokoteleza hapa na pale
 
Hao wote wameishi bara gani?hizo nchi zote walizoishi hao ukitaka kufahamu differences na hii nchi yako inayoongozwa na jinsia sawa na hao utagundua kwa asili zao wote wana uwajibikaji,kwamba wanaume wote huko hata kama kisheria pale topper alikaa mwanamke wao wataonyesha uadilifu kwa kumshauri vyema.

Nchi yako kuna nini?uwaamini hawa kundi la wevi wanaomzunguka ndiyo wanaompa ushauri?eg Biteko,majaaliwa yupo huyo mchemba mtu kama chalamila kila wakifungua vinywa hadharani wanampamba huyu mama kwa sifa ambazo hana na hatokaa awe nazo uamini atafanana na hao kiutendaji?ukiwa kwenye payroll ya kulipwa chochote kitu na huyu mwanamke hutaelewa kinachozungumzwa.
 
Unajua hapo sasa tunaongelea mifumo na sio personality tena ?

Ofcourse hakuna sehemu mtu mmoja anaweza kuleta mabadiliko bila usaidizi wa mifumo na watu wengine ikiwemo wananchi ambao ndio wenye nchi; Inabidi tuwe na mifumo ambayo hata bila yoyote pale juu iweze kwenda (na dunia ya sasa ya teknolojia hilo linawezekana) Kwahio kutegemea watawala ili uendelee ni kucheza pata potea.., ndio maana niliuliza

Wait and see. Tunza hii kauli yangu
Naweza hata kubeti. Najua hakuna cha maana kitachotokea. Maana naelewa politics za huu ulimwengu namna zinakwenda,waweke mwanamke zianze habari za biden tena?
 
We bwege hujawahi kuwa na akili, USA ndio nchi pekee unayoifahamu hp duniani? Hujasikia hbr za Iron lady(Magreth Thatcher ) waziri mkuu wa UK?, na je vile vile hujasikia kuhusu Angel Merkel Kansela wa muda mrefu wa Ujerumani? Umemdharau mpk mamako we mbwa koko. Samia ktk uongozi amewazidi wanaume wote waliowahi kuwa marais.
Amewazidi kwa kukopa na kugawa rasilimali za Taifa. na kuruhusu watawala kula kwa urefu wa kamba, ufisadi uliopindukia
 
Sangamwalugesha, kweli upumbavu umekujaa kichwani, uchawa tu huo. Unajifanya kujua sana! Kwani wewe na M/MUNGU ni nani mwenye kumjua binadamu, MUNGU mwenyewe huu usawa hakuuweka. Iweje wewe leo kiumbe dhaifu, hujui mbele wala nyuma. Mitume wote wanaume, pia hata hili hulijui? Uingereza nchi ya kifalme, ujerumani, soma zaidi. Huenda hata nyumbani kwenu mama yako alikuwa akimpelekesha mzee wako, ndiyo sababu hata wewe kuwa hivyo.
Nina mifano mingi ya failures za wamama. Biblia inaonya kuwa mwanamume ni kichwa cha KRISTO, na vivyo hivyo ni kichwa cha nyumba. Pale mama anapokuwa kichwa cha nyumba, basi nyumba hiyo imelaaniwa.
 
Mimi sio mbaguzi wa jinsia
Ila hata hapo nyumbani kwako mkeo akishika usukani wa kuongoza familia ujue familia itayumba tu

Sio mpango wa Mungu mke kumtawala mume
Hakuna ramli ya kumtoa Samia kabla ya 2030 na Kwa taarifa Yako tuu wewe sio Mungu na huna Cha kufanya.
 
Mimi sio mbaguzi wa jinsia
Ila hata hapo nyumbani kwako mkeo akishika usukani wa kuongoza familia ujue familia itayumba tu

Sio mpango wa Mungu mke kumtawala mume
Majumbani kwenu na mitaani mko fully controlled na women
 
Back
Top Bottom