Tuliwambia Al Houth au Yemen hakuna nchi inayo weza.kuwashinda vita. US alikwenda kichwa kichwa alidhani Yemen atatishika. Juzi Vice Presdent wa US kawapo offer tena offer ili wawache kushambulia Red Sea Al Houthi wakagoma. Trump analia eti Egypt wamsaidie kipesa walipe gharama au wasaidie kijeshi. Egypt wamemuambia Al Houth hawezi kusimamisha vita kama vita ya Gaza inaendelea.
F18 moja bei yake 60 Millions tayari mbili R.I.P na MQ-9 karibu 20 zimeisha angusha moja ina cost karibu 30 MILLIONS na usisahau gharama zao za kila siku na 2 Carriers zao zimebomolewa.