wazee sio wajinga wanaakili sana,,🤣😅Wazee wanaingia kutafuta pisi kali sio kwamba ni wajinga
Umenena mkuuJe umefanya reseach yako vzr ukatambua iyo mitandao ya META ipo china
Kwa uwelewa wangu china akuna facebook wasap wala youtube km ulikua ujua mchina ndo anaongoza kwa kufungia na kuzuia app za kimarekan nchini lwake
Lakin ndugu yangu hii mitandao unaweza ichukulia poa ila mitandao inasaidia sana kupata taalifa za kininterigencia kutoka kwa watumiaji wake kwenda kwa wahusika
Una uhakika na ulichoandika?TikTok sio salama kuitumia unavyotumia kila kitu chako kwenye simu Yako wanakiona na kuitumia au kukiuza
China haijawahi kufungia mitandao yakm ulikua ujua mchina ndo anaongoza kwa kufungia na kuzuia app za kimarekan nchini lwake
Sio kwa style ile sasa, Ujue hata Mashoga wanapata hela? Vipi wahalalishwe kwa matumizi.Wanapata pesa kupitia TikTok