cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mashoga wanakujajee hapa?Sio kwa style ile sasa, Ujue hata Mashoga wanapata hela? Vipi wahalalishwe kwa matumizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashoga wanakujajee hapa?Sio kwa style ile sasa, Ujue hata Mashoga wanapata hela? Vipi wahalalishwe kwa matumizi.
Kwani wewe siku zote ulikuwa hujui jambo hili?Hebu sema kweliii? Ndo kwanza unanistua hapa. Lol
Hii kibokoUnatumia whatsap
Basi ili upige video lazima ukubari waiacces camera na microphone
Ili utume picha/video lazima ukubari waaccess file na media zako
ili uone majina lazima ukubari waiaccess CONTACTS zako
Ili utume Location lazima ukubari waaccess GPS ya simu yako
Ipo hivyoView attachment 2943332
Na Tik Tok pia imeshindwa kitii sheria na vigezo vya marekani mkuu.Iko hivi mkuu
Mitandao ya Marekani ilishindwa kutii sheria na vigezo vya China
Iliposhindwa wakaamua kujiondoa China
Vigezo na sheria zipi?Na Tik Tok pia imeshindwa kitii sheria na vigezo vya marekani mkuu.
Ambavyo vimeainishwa kwenye sababu ya kuifungia Tik Tok hapo USAVigezo na sheria zipi?
Ni siku chache zimepita tangu USA kuja na maamuzi ya kuzuia Mtandao wa TikTok ndani ya Taifa lao
Mpaka sasa hakuna sababu za kueleweka kwamba kwa nini mtandao huo uzuiwe zaidi ya wivu na uhasama wa kibiashara
Mara nyingi USA imekuwa ikijaribu kuua maendeleo ya China kwa muda mrefu sana hata katika biashara nyingine ikiwemo simu za Huawei kuzuiwa kuingia USA kipindi cha nyuma
Nadhani China nao wanapaswa kulipa kisasi kwa kuzuia mitandao iliyoundwa na kampuni ya META ikiwemo Facebook, Instagram na WhatsApp ndani ya Taifa lao ili wagawane hasara.
View attachment 2939537
Vitaje sasaAmbavyo vimeainishwa kwenye sababu ya kuifungia Tik Tok hapo USA
Mtoa post hufahamu na huna taarifa za kutosha. First of all us wana sababu wanazodwi ni za kiusalama. Upande mwingine china walisha block mitandao yote ya us fb, google, instagram na nk tokea 2009.Ni siku chache zimepita tangu USA kuja na maamuzi ya kuzuia Mtandao wa TikTok ndani ya Taifa lao
Mpaka sasa hakuna sababu za kueleweka kwamba kwa nini mtandao huo uzuiwe zaidi ya wivu na uhasama wa kibiashara
Mara nyingi USA imekuwa ikijaribu kuua maendeleo ya China kwa muda mrefu sana hata katika biashara nyingine ikiwemo simu za Huawei kuzuiwa kuingia USA kipindi cha nyuma
Nadhani China nao wanapaswa kulipa kisasi kwa kuzuia mitandao iliyoundwa na kampuni ya META ikiwemo Facebook, Instagram na WhatsApp ndani ya Taifa lao ili wagawane hasara.
View attachment 2939537
Marekani ni mafedhuli wanalazimisha kununua kwa nguvuVitaje sasa
Vigezo vyote wametimiza
Iko hivi mkuu:
Wanachotaka Wamarekani TikTok ifanye ownership change iuzwe kwa wamiliki wa Kimarekani
Mitandao yote ya kijamii ya Marekani imezidiwa AI Algorithm na e-commerce tech na TikTok
Ndio maana Marekani wanasema ikiwa wanataka TikTok iendelee Marekani basi OS source code iwe chini ya control ya Marekani
TikTok haijasambaa USA!!? Una uhakika na ulichokiandika....Ukizuia huko China Whatsapp, FB au Instagram nakwambia nchi itapata hasara kubwa sbb matangazo mengi ya wa China ya biashara yako mitandao hiyo, tofauti na TikTok sbb bado haijasambaa USA, so haina madhara kwa USA wakifungia mapema sbb wameiwahi, tofauti na kuifungia mitandao ya META nchini China, maana wachina na nchi yao watapata hasara kubwa sana.
Wamezidiwa na chinaNi siku chache zimepita tangu USA kuja na maamuzi ya kuzuia Mtandao wa TikTok ndani ya Taifa lao
Mpaka sasa hakuna sababu za kueleweka kwamba kwa nini mtandao huo uzuiwe zaidi ya wivu na uhasama wa kibiashara
Mara nyingi USA imekuwa ikijaribu kuua maendeleo ya China kwa muda mrefu sana hata katika biashara nyingine ikiwemo simu za Huawei kuzuiwa kuingia USA kipindi cha nyuma
Nadhani China nao wanapaswa kulipa kisasi kwa kuzuia mitandao iliyoundwa na kampuni ya META ikiwemo Facebook, Instagram na WhatsApp ndani ya Taifa lao ili wagawane hasara.
View attachment 2939537
Samahani sana ndugu Mwenyekiti kwa kugusia juu ya Chama chako pendwa.Mashoga wanakujajee hapa?
Sikua najua mie wallah.Kwani wewe siku zote ulikuwa hujui jambo hili?