USA yaamua kuzuia Mtandao wa TikTok

Lakini kwa Upande mwingine tambueni kwamba Wachina ni miongoni mwa jamii za Watu wa hovyo sana hapa duniani.Ukiwafahamu kwa undani sana hautaweza kuwa upande wao
 
T
Lakini kwa Upande mwingine tambueni kwamba Wachina ni miongoni mwa jamii za Watu wa hovyo sana hapa duniani.Ukiwafahamu kwa undani sana hautaweza kuwa upande wao
Tatizo Africans sijui tupoje yaani tunatabia ya kudandia dandia kila taifa kwa kudhani wanatupenda tusipoangalia tutatawaliwa tena
 
Vipi hakuna wazee wa VPN huko
 
Umeshawahi tumia TikTok au unatumia wakati WA kujiunga ukuona sharti lao Moja la kuwa na access ya Kila kitu chako kuanzia, contacts, videos,photos na file nk?
Unatumia whatsap
Basi ili upige video lazima ukubari waiacces camera na microphone
Ili utume picha/video lazima ukubari waaccess file na media zako
ili uone majina lazima ukubari waiaccess CONTACTS zako
Ili utume Location lazima ukubari waaccess GPS ya simu yako
Ipo hivyo
 
TikTok ni mtandao wa kingese sana,unakuta lizee lizima limaliza mpaka vocha ya 10k kushinda humor kutizama upuuzi!
Angalau Facebook hata nafuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…