USA yaamua kuzuia Mtandao wa TikTok

Hii kiboko
 
BREAKING: The Financial Times reports that China has started blocking use of Intel and AMD chips in government computers
 


Ukizuia huko China Whatsapp, FB au Instagram nakwambia nchi itapata hasara kubwa sbb matangazo mengi ya wa China ya biashara yako mitandao hiyo, tofauti na TikTok sbb bado haijasambaa USA, so haina madhara kwa USA wakifungia mapema sbb wameiwahi, tofauti na kuifungia mitandao ya META nchini China, maana wachina na nchi yao watapata hasara kubwa sana.
 
Ambavyo vimeainishwa kwenye sababu ya kuifungia Tik Tok hapo USA
Vitaje sasa

Vigezo vyote wametimiza

Iko hivi mkuu:
Wanachotaka Wamarekani TikTok ifanye ownership change iuzwe kwa wamiliki wa Kimarekani

Mitandao yote ya kijamii ya Marekani imezidiwa AI Algorithm na e-commerce tech na TikTok

Ndio maana Marekani wanasema ikiwa wanataka TikTok iendelee Marekani basi OS source code iwe chini ya control ya Marekani
 
Mtoa post hufahamu na huna taarifa za kutosha. First of all us wana sababu wanazodwi ni za kiusalama. Upande mwingine china walisha block mitandao yote ya us fb, google, instagram na nk tokea 2009.
 
Si kweli, bado hawajazuia kabisa ila wamewapa kama options mbili BYTEDANCE ambao ndio wamiliki wa Tiktok kwamba waiuze Tiktok kwa Marekani au Marekani iufungie mtandao huo nchini mwao.

Kufungiwa kwa Tiktok nchini Marekani pia kutaleta athari kwa wengi hata wasio ishi Marekani kwani Tiktok itaondolewa pia App Store na Google Playstore ambazo ni platform za Marekani.

China pia wao muda tu wameshafungiaga mitandao ya Marekani kwa sababu zao. Kwaio hatupaswi kuwachukulia kama wasio na hatia pia.

Chanzo: The Guardian
 

Attachments

  • Screenshot_20240324_142401_Chrome.jpg
    665.3 KB · Views: 3
Marekani ni mafedhuli wanalazimisha kununua kwa nguvu
 
TikTok haijasambaa USA!!? Una uhakika na ulichokiandika....
tokea mwaka 2021 TikTok ndio mtandao tishio zaidi kwa ukuaji marekani
 
Wamezidiwa na china
USA wanashift kutoka kwa capitalism to protectionism
 
USA analalamika kuwa huo mtandao unadukua taarifa za watu,nilisikia kwenye DW SWAHILI walitoa taarifa hiyo kuwa wataifunga na wamefanya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…