USA yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya wa Urusi, ndiye ametembeza kipigo kisicho na huruma jana Ukraine

USA yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya wa Urusi, ndiye ametembeza kipigo kisicho na huruma jana Ukraine

Inaitwa counter attack maana aliwavuta askari wa ukrain vichwa vikavimba kua anaenda kukomboa majimbo manne na wanasonga mbele akawavuta kyiv wakaiacha halafu kapiga kyiv wao kugeuka nyuma kunawaka moto kwanza kapiga miundombinu ya umeme halafu kapiga ofisi zao za ujasusi kuonesha dharau maana kupiga lile daraja la crimea ni sawa walishambulia Russia na alishawaonya wasitupe bomu Ndani ya nchi, sasa kawatest wamechanganyikiwa hawajui wasonge mbele au warudi kwanza kyiv?
 
Marekani yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya anayeongoza mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, ndiye aliyesuka na kutembeza jana kipigo kitakatifu kisicho na chembe ya huruma koote Ukraine sambamba na kuipiga kibeiriti Kyiv.

Kipigo ambacho vyombo vya magharibi vinakiri kuwa ni kikubwa zaidi toka kuanza kwa operesheni ya kijeshi nchini Ukraine.

Eti MK254 hivi ni kweli hiyo?
======

View attachment 2383138
View attachment 2383139
Ndio kasababisha jamaa wa watu roho inataka kutoka kwa mbio
IMG_20221011_084557.jpg
 
Kwani mpk ss kyvi amjafika? Mlisema siku 3 tu
 
Hahahahhaha hii ndio ile moment tulikuwa tunaisubiria kwa hamu kubwa. Uraaa!!!
Twende pamoja na Kamanda Sergei [emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wa Urusi anatoa dozi kwa awamu kulingana na kamanda.

Naona kifurushi hiki cha kamanda Surovikin kitakwenda kubadili sura ya vita kabisa [emoji23] wa Gaykraine walishaona mchezo sasa kuvunja vunja madaraja. Wacha kiboko wa magaidi awaoneshe viwango.
Baba hii ni dozi haswaa mzee putin anatabasamu tu maana alikiwa ameshatoa onyo kali, huko ufaransa nako Tia maji tia maji, watulize mshono waelewe kama jamaa anapiga hivi pamoja na vikwazo alivyonavyo je akiwa freee???
 
Naona Putin analipaka mate hivyo lazima mtu amdidimize dubwasha
 
Huyu jamaa anaogopwa sana na CIA waliteseka sana allepo syria

Putin alikuwa anamstahi sana Zelensky lakini jeuri ya Zelensky na Biden wali gross under estimate resolve ya Putin na majenerali wake -hivi sasa ndio amehamua kuvua gloves na kupigana akitumia bare knuckles, Ukraine patachimbika nawambieni.
 
Lazima waite maji mmma na lazima wajue ugaidi sio deal🏃🏃
Ngoja siku ikifika zamu ya huyo beberu anayemwaga uchafu wake hapo Ukraine na wenzake anaowashawishi,wakishushiwa kipigo ni bila huruma na hicho ni chakuwageuza jibu🥱
 
Hahahahhaha hii ndio ile moment tulikuwa tunaisubiria kwa hamu kubwa. Uraaa!!!
Twende pamoja na Kamanda Sergei 😂😂😂 uzuri wa Urusi anatoa dozi kwa awamu kulingana na kamanda.

Naona kifurushi hiki cha kamanda Surovikin kitakwenda kubadili sura ya vita kabisa 😂 wa Gaykraine walishaona mchezo sasa kuvunja vunja madaraja. Wacha kiboko wa magaidi awaoneshe viwango.

Ndio Ukomandoo gani huo Sasa!?
Wenzie wanavunjavunja vyuma yeye anavunjavunja mifupa! Hafai hata kidogo huyu abadilishwe...
 
Back
Top Bottom