USA yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya wa Urusi, ndiye ametembeza kipigo kisicho na huruma jana Ukraine

Inaitwa counter attack maana aliwavuta askari wa ukrain vichwa vikavimba kua anaenda kukomboa majimbo manne na wanasonga mbele akawavuta kyiv wakaiacha halafu kapiga kyiv wao kugeuka nyuma kunawaka moto kwanza kapiga miundombinu ya umeme halafu kapiga ofisi zao za ujasusi kuonesha dharau maana kupiga lile daraja la crimea ni sawa walishambulia Russia na alishawaonya wasitupe bomu Ndani ya nchi, sasa kawatest wamechanganyikiwa hawajui wasonge mbele au warudi kwanza kyiv?
 
Ndio kasababisha jamaa wa watu roho inataka kutoka kwa mbio
 
Kwani mpk ss kyvi amjafika? Mlisema siku 3 tu
 
Baba hii ni dozi haswaa mzee putin anatabasamu tu maana alikiwa ameshatoa onyo kali, huko ufaransa nako Tia maji tia maji, watulize mshono waelewe kama jamaa anapiga hivi pamoja na vikwazo alivyonavyo je akiwa freee???
 
Naona Putin analipaka mate hivyo lazima mtu amdidimize dubwasha
 
Huyu jamaa anaogopwa sana na CIA waliteseka sana allepo syria

Putin alikuwa anamstahi sana Zelensky lakini jeuri ya Zelensky na Biden wali gross under estimate resolve ya Putin na majenerali wake -hivi sasa ndio amehamua kuvua gloves na kupigana akitumia bare knuckles, Ukraine patachimbika nawambieni.
 
Lazima waite maji mmma na lazima wajue ugaidi sio dealπŸƒπŸƒ
Ngoja siku ikifika zamu ya huyo beberu anayemwaga uchafu wake hapo Ukraine na wenzake anaowashawishi,wakishushiwa kipigo ni bila huruma na hicho ni chakuwageuza jibuπŸ₯±
 

Ndio Ukomandoo gani huo Sasa!?
Wenzie wanavunjavunja vyuma yeye anavunjavunja mifupa! Hafai hata kidogo huyu abadilishwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…