USA yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya wa Urusi, ndiye ametembeza kipigo kisicho na huruma jana Ukraine

Yule Generali aliyetoka Syria yuko wapi sasa? lakini jiulize huyu ni generali wa ngapi? wenzake waliopita wako wapi? Urusi kwenye hii vita anasomeka kwamba sasa he is running short, ameshindwa vita ameshindwa kulinda majimbo 4 aliyopiga kura na sasa kila siku Ukrean wanachukua ardhi yao anakuja kuangusha magorofa na kuua raia 19 kwa mabomu 83 ambayo alipiga continuously mji mkuu Kyiv.

Ni jambo la kutafakari sana inawezakana vipi 83 bombs out of target? sasa huu ndio uwezo wa Putin na US ndio mana huyu jamaa wanampiga na watampiga mpaka achakae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…