USA yaonyesha uwezo mkubwa dhidi ya COVID-19

USA yaonyesha uwezo mkubwa dhidi ya COVID-19

Marekani Ni namba wani. Kufikia jioni Leo atakuwa kishampiku italy,,japo mchuano Ni mkali sana
 
Wewe uliendaka huu uzi ni kibaraka wa MAREKANI. Hata aibu Huna. Unamnukuu mtu ambae hata kipofu anaona kwamba kashindwa kufanya maamuzi sahihi thidi ya janga hili.
Kama wewe ni mtanzania hata uzalendo wako nautia mashakani sasa.
Kama unakuja hapa kueneza propaganda za MAREKANI basi hata nchi yako unaweza kuisaliti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aamue nini cha zaidi. Kumbuka Corona haikuletwa na Trump Usa
 
Back
Top Bottom