USA yatoa onyo kwa Rwanda, yasema itakabiliwa na vikwazo isipokomesha Vita. Yamtaka Kagame kuondoa Majeshi yake Goma/Mashariki ya DRC

USA yatoa onyo kwa Rwanda, yasema itakabiliwa na vikwazo isipokomesha Vita. Yamtaka Kagame kuondoa Majeshi yake Goma/Mashariki ya DRC

Marekani ni Wanafiki!
JWTZ na Munusco wamekwama wapi mpaka M23 wanateka Mji wa Goma na kuanza kujigamba?
Hao monusco walikuwepo wakati wa Lumumba siku anakamatwa na kwenda kuuliwa wao walikuwa wamejaa Kinshasa
 
kuna chama kinataka kutugawa hapa nchini kwa kuingozaingiza maneno kwa wananchi wajifunze vita si nzuri amani ilindwe kwa gharama yoyote,nampongeza mweshimiwa mama yetu kipenzi kwa kuisimamia amani ya taifa letu..maendeleo yanaletwa pakiwa na amani
Mama yako yupo huko Nanjilinji, wadandia mama yake Abdul eti ni mama yako.
 
Ukishasikia Un wamesema.."Rwanda na Drc wanapaswa kurudi kwenye meza ya maridhiano"... tambua hakuna kitu hapo!
 
Ukiona hivyo ujue DRC Govt washakubaliana na masharti ya bwana mkubwa US .. mfano kuwapa exclusivity kampuni za US kwenye machimbo ya Colbat.. nimesema mfano sina uhakika .. maana

yaani rwanda aanambiwa haya rudi nyumban naye anasema sawa mkuu

Hivi inawezekanaje umoja wa Afrika tushindwe kulimaliza hili kwa kumwekea vikwazo rwanda had US aje atoe amri
Swali ni kwanini wasisurubiwe hao watawala wasiopenda kuendesha nchi zao kwa demokrasia badala yake ni wizi mtupu kuanzia rasilimali mpaka kura, yawezekana waliamua kushika bunduki wanayo hoja ya msingi, Na wewe kama ni mtawala ukatawala kihuni huni jua kuwa wapo wenye uchungu na nchi yao na ipo siku itakutokea puani.
 
Back
Top Bottom