Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hao monusco walikuwepo wakati wa Lumumba siku anakamatwa na kwenda kuuliwa wao walikuwa wamejaa KinshasaMarekani ni Wanafiki!
JWTZ na Munusco wamekwama wapi mpaka M23 wanateka Mji wa Goma na kuanza kujigamba?