Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Hawajafika kusafisha huko Mkuu?Chalamila atimuliwe
Hakuna jeshi linalosikiliza taarifa za mitandaoniWakuu,
Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. Tangazo lililokuja mara tu baada ya CHADEMA kutangaza kufanya maadamano tar 24.
Swali ni kwamba, leo siku ya kwanza ya usafi huko mtaani kwenu vikosi vimeonekana vikifanya usafi?
Nyuki wa mama tupate picha jinsi zoezi lilivyofanyika leo.
Hata Jeshi la Mgambo limemdharau😁Chalamila kaaibika. Halafu jeshi halikumjibu chochote wamemuacha na ujinga wake
Comedy showChalamila kaaibika. Halafu jeshi halikumjibu chochote wamemuacha na ujinga wake
Chalamila ni mpumbavu mmoja hivi na hapo Dar atang'oka!Wakuu,
Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. Tangazo lililokuja mara tu baada ya CHADEMA kutangaza kufanya maadamano tar 24.
Swali ni kwamba, leo siku ya kwanza ya usafi huko mtaani kwenu vikosi vimeonekana vikifanya usafi?
Nyuki wa mama tupate picha jinsi zoezi lilivyofanyika leo.
Rc atakuwa amepata funzoWakuu,

Kanisani?Pombe ndo ilitoa tamko, muwe mnazingatia situation.
Kuna nini?Kanisani?
Jamaa wamemgomea aingie mwenyewe mtaani azibue vifusi vilivyoziba mitaro aone km ni rahisi bila kulaTunaposema huyo jamaa ana akili za kukariri tu madesa, muwe mnatuelewa.