Pre GE2025 Usafi aliotangaza Chalamila kufanywa na Majeshi ya Ulinzi tar 23 na 24 Januari leo siku ya kwanza umefanyika mtaani kwako?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hilo pekee limeshamlamba 3 bila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejifungia ndani huku nawakumbuka wakati ule wa vuguvugu la dini sina hamu nao.

Baada ya siku hizo mbili niambieni ili nitoke humu.
 
Tunawasubiri waje kufanya usafi maana mazingira machafu kweli
 
Inawezekana taarifa kutoka Ubarozi wa US imefanya zoezi hilo kustishwa!
Nawaza lakini!
 
Kuna watu wanaenda kanisani, tayari wakiwa wamezitwika pombe barabara. Bila shaka RC ni miongoni.

Alitaka kuliaibisha jeshi, ameaibika yeye.
Jeshi wamemkwepa. Hii imetoa ujumbe mzito kwao kwamba hawana uwezo wa kulitumia wanavyotaka.....ndio maana hata leo tunaandamana freshi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…