Usafi kabla na matayarisho ni muhimu maana inayaamsha mapenzi kanbla hamjayaanza. Usafi baada au hata katikati ya game ni muhimu kutegemeana na maumbile, mwingine huwezi kuendelea ndani ya trip ya kwanza bila kufanyika usafi! Ok, swali ni baada ya game-sawa nayo inategemea mazingira kama inawezekana kuoga kabisa wote hii itasaidia kurudisha nguvu,mwili kurudia hali yake ya zamani maana nayo ilikuwa shughuli,jasho nk lkn kama mazingira/uchumi unabana basi kitambaa safi kifanye kazi ya usafi ili kama hamu itakuja tena kusiwe na kizuizi maana kuoga kabisa ni ujumbe kuwa game kwa leo basi!