Usafi baada ya kufanya mapenzi!

Usafi baada ya kufanya mapenzi!

mhh ulivyomtetea haya tufanye si mzushi ila wazushi wengine ndo wamezua,hapo utakuwa umefanya la maana maana mie siogopi kudaiwa atii...leo angalau maji yatapita nna uhakika wa nywele japo si zangu...ntajishauaje!

LOL! Msema kweli Shosti siku zote ni mpenzi wa Mungu.....hapo kwenye bold mhhhhhhh! 🙂🙂....ukishamaliza deni zinakuwa zako bana huwezi kulalamika tena kwamba nywele zinanyonyoka 🙂🙂
 
Tutaftane ili tufundishane kwa kujinafasi zaidi ,inaelekea unamambo adimu.... ni PM!
Loh! namwambia Shangazi yangu anakuja kukukanya!
PM za nini mapema hivi? tena unataka tujinafasi?
 
usafi kabla au baada ya shughuli una mambo mengi. hapa naogopa kusema chochote maana .com kibao.
 
Kama nyapu haitemi shida hakuna...
Nani kasema? Muulize muhusika kama haoni shida yeye.

Mi sipendagi kuogaoga kila saa,unanishauri vipi baby..au mi mchafu!
Jamani, jitahidini kuoga angalu mara moja kwa siku.
Na kama hamtaki basi msitegemee wake/girlfriend zenu
watakua huru kuchezea miili yenu kama wanavo taka.
chumvi la jasho, pamoja na harufu havihamasishi.
 
I am watching .....
Anti, afadhali umekuja. Wape hawa vijana lile somo ulinipa.
wanandoa wakimaliza ku-do, mume anaona uvivu kwenda kuoga
Mwanamke anaweza fanya maujanja gani mumewe alale msafi?
 
Usafi kabla na matayarisho ni muhimu maana inayaamsha mapenzi kanbla hamjayaanza. Usafi baada au hata katikati ya game ni muhimu kutegemeana na maumbile, mwingine huwezi kuendelea ndani ya trip ya kwanza bila kufanyika usafi! Ok, swali ni baada ya game-sawa nayo inategemea mazingira kama inawezekana kuoga kabisa wote hii itasaidia kurudisha nguvu,mwili kurudia hali yake ya zamani maana nayo ilikuwa shughuli,jasho nk lkn kama mazingira/uchumi unabana basi kitambaa safi kifanye kazi ya usafi ili kama hamu itakuja tena kusiwe na kizuizi maana kuoga kabisa ni ujumbe kuwa game kwa leo basi!
 
Ndio kazi ya somo sasa. Hivi inakuaje siku hizi
watu wanaoa/kuolewa bila kwenda jandoni?
ma-trick yote ya usafi ungepata huko huko
Mrs nae angefundwa,kazi yake angeijua vizuri.
Ngoja mi nikae kimya, tuliambiwa tusieme tulicho fundwa.

Swala la usafi linabaki kuwa tabia ya mtu tu na wala si jandoni ama unyagoni. mangapi wanafundwa huko unyagoni na wengine hata kupika hawajui? kwa ujumla swala la usafi ni jukumu la mwanamke. Kama hajafundwa jinsi ya kumsafisha mume wake hapo ndo hatari.
 
Back
Top Bottom