Usafi katika nyeti!

zingatia kuosha kuanzia mbele kuelekea nyuma.zingatia hii tafadhali.
 
Jf ni zaidi ya shule...mbarikiwe wote!
 
RR kitufe cha thanks sikioni ila kiukweli umetoa somo la maana sana
 
RR kitufe cha thanks sikioni ila kiukweli umetoa somo la maana sana
Karibu sana. Mwenyewe somo hili nimepewa na watu wengi wakiwemo mama yangu na bibi yangu (sasa Marhem). Nitafikisha shukrani zenu...
 

Hapo kwenye red ni muhimu kwa wanawake, kwani wakiosha kutoka nyuma kwenda mbele wanaweza hamisha microbes wa nyuma kwenda ukeni. Kwa wanaume haijalishi kwani huwezi hamisha microbes wa nyuma kwenda uumeni!
 
Reactions: EMT
sijui mwanaume anahitaji usafi au la..

kwani wanaume sio bnadamu?
mhh ndo nyinyi mnaonuka.....ahhh wanaume wengne wananuka jamn akisimama pale harufu mpk kule unaipata...
 
kwani wanaume sio bnadamu?
mhh ndo nyinyi mnaonuka.....ahhh wanaume wengne wananuka jamn akisimama pale harufu mpk kule unaipata...

Acha kutusingizia. Wanaume wa wapi? Hapa Hapa mjini? Njoo uninuse basi kama hujaishia kuning'ang'a sharti
 

mwanamke wa kuosha mara 3 kwa week? gosh...wa aina gani huyo mwanamke? huo ni uchafu!
 
Mpwa asante kwa somo, usafi wa mazingira ni muhimu.

Wakuu kama kuna anae hitaji vibwagizao vyote vya usafi wa mazingira, mi ni orflame consultant ani pm tu.
 

hapa umenitamanisha kuingia kunako chunvini
 
mwanamke wa kuosha mara 3 kwa week? gosh...wa aina gani huyo mwanamke? huo ni uchafu!
Samahani kama hukunielewa, nilimaanisha kuosha kwa kuondoa kabisa ule 'uchafu' wa ndani. Kuosha kwa nje tulisema ni mara 2 kwa siku (at least) ila ukiosha sana huko ndani pia unaharibu balance na ikiwa kwa sababu moja au nyingine unahitajika kukaa zaidi ya masaa 8 bila kuosha utaskia unatoa harufu mbaya sehemu za siri sababu umetoa bacteria fulani ambazo ni muhimu kw kusuppress. Na ndio pia sababu ya kuto tumia intimate gel ndani ya uke, but nje tu. So the balance itakua ni kuosha mara moja kwa siku mbili, unless ulishiriki tendo la ndoa, in which case you have to rince immediately.
 
Somo limeenda shule hilo,nikelipenda.Asante kwa kutuelewesha
 
Thanks for your effort, but may we have your reference please? I want to justify your tips before I can give my contributions on this subject.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…