Usafi katika nyeti!

Usafi katika nyeti!

kwa hiyo una maana walioko dar ruksa kutokukomba, ama ndo kuingia na kichupa cha kilimanjaro water bafuni? manake mp mie naogopa hata kijiangalia na macho,lol! ila hilo somo la kukomba ni topic nyingine mpyaa,shurti tuende kwa mwalimu akatufunde upyaaa. ngoja niishie hapa (usikute kakake ashadii anaona unampa ugali bila mchuzi bibie, ndo anachofuata hukoo small house. usintaje eeh shosti,mwanamke kifua,lol)
mke mwenzangu....mie kuoga bila kukomba huko ntahic kama vile cjatoka bafuni, shughuli yangu ya kwanza ndio huwa hiyo zingine zinafatia, cjawahi kupata tatizo la huko kwa namna moja au nyingine labda nilivyokuwa dar ndio maji yaliniletea fungus kdgo baada ya hapo haijatokeaga kabisa....
 
sorry....typo error!.....jamani jamani Ikunda, hv unantania au?

Utanii unatoka wapi tena mamito?? lol

ila kama wewe unasafisha na hupati madhara we endelea tu, ila kwa wengine namie inabidi tupaache tu pajisafishe penyewe.

Ivi babu anapoingia kwa bibi huwa hasafishi?? nauliza tu msiniparue.
 
kwa hiyo una maana walioko dar ruksa kutokukomba, ama ndo kuingia na kichupa cha kilimanjaro water bafuni? manake mp mie naogopa hata kijiangalia na macho,lol! ila hilo somo la kukomba ni topic nyingine mpyaa,shurti tuende kwa mwalimu akatufunde upyaaa. ngoja niishie hapa (usikute kakake ashadii anaona unampa ugali bila mchuzi bibie, ndo anachofuata hukoo small house. usintaje eeh shosti,mwanamke kifua,lol)

niliendelea kukomba na maji safi, kwann uingine na kikopo, nina kibeseni kidogo binafc, hicho hata msukuma anajua kazi yake, so hakigusagi!... red...unachoogopa ni nn? c damu yako ama, mie walaaah naangalia/najisafisha vzr kabisa!...sema hapo ndio urafiki unactishwa na msukuma, hatutaoga pa1 mpaka nifunge kazi....hahahahah
 
Utanii unatoka wapi tena mamito?? lol

ila kama wewe unasafisha na hupati madhara we endelea tu, ila kwa wengine namie inabidi tupaache tu pajisafishe penyewe.

Ivi babu anapoingia kwa bibi huwa hasafishi?? nauliza tu msiniparue.

tena? sio kwamba ndio anapaacha ovyo, sperms!....so kwa msiojisafisha ndani hata mkimaliza "kazi"...mnaosha nje ndani akuu, gosh yaani mie ctapata ucngizi mpaka nipadeki na maji baridiiiii ule utelezi etc vitoke parudi hali yake ndio ntajickia ahueni, hivi hivi ctalala aisee, hizo ishu cjui za kujifuta na kulala cziwez kamwe, hata saa 9 za ucku ntaamka lazima.
 
Kwa mwanamke:
  1. Tumia intimate gels wakati wakuosha.
  2. osha zaidi na maji baridi kuliko ya moto.
  3. mara kwa mara tumia intimate wipes during the day (kama upo ofisini au unasafiri mfano, unaweza kutumia mara 2 au mara 3),
  4. ukienda haja kubwa au ndogo jifute vizuri mbele kwenda nyuma.
  5. Kama utaweza, kila uendapo haja tumia maji (pressure) alafu futa vizuri kutoa maji maji. hakikisha maji ya nyuma hayaji mbele in the process... (tricky)
  6. Vaa chupi za cotton or silk. usitumii sana synthetic material ila kama kuna ambayo imekufurahisha sana make sure ina a cotton piece pale penyewe...
  7. usitumie deodorant au mafuta sehem hizo, even the 'vaginal' deodorants.
  8. nyoa vuzi mara kwa mara (at least twice a month), hasa wakati wa period.
  9. Wakati huo hakikisha unabadilisha towel kila baadaya ya masaa 6 (or less) na kama ni tampon kila baada ya masaa 4 (or less).
  10. Avoid vaginal sex after anal sex (unless kaosha vizuri vifaa vyake).
  11. Badilisha chupi mara 2 kwa siku (or more). fua chupi as soon as you remove them, then ukitaka kuzifua tena kwa pamoja later it is fine. usivai chupi bila kuiiga pasi, usichangi chupi ambazo hazija pigwa pasi na zile zilizo pigwa. Usilale bila chupi (if possible)
  12. Avoid wandering around chupi-less, hasa kama unavaa skirt. Unakaribisha vumbi tu!
  13. Ukiona dalili yoyote ya fungus pata ushahuri wa daktari, badilisha chupi zote. wakati wa treatment tumia chupi single use (kama utaweza) au zingatia sana masharti ya usafi wa chupi.
  14. Usifanye mapenzi wakati wa treatment, na ukimaliza treatment hakikisha mpenzi wako has been treated too.
  15. Use condom (in fact nilitakiwa kuanza na hii)
  16. Osha sehem za siri kila baada ya kukutana (even between goli)
  17. Jaribu kutokunywa antibiotic bila sababu, they disturb the eco-balance ya huko chini
  18. Don't stress yourself with this list, most of it will become a natural routine. some of them are not applicable to you, some are...
Kwa mwanaume sijui...
Real appreciating u ur a gd teacher big up!!
 
Hapo kwenye nyekundu. Kwani watanzania pia mpo????? maadili mmepata wapi???
 
big ups sana kwa mtoa mada, na wote waliotoa mawazo yao katika huu uzi. Binafsi nafikiri ni muhimu sana kusafisha kwa bibi... but huwa napata shida sana kutambua maji safi ya baridi ni yapi. Mfano.. Kwa sie wa Dar kuna baadhi ya maeneo hata hayo maji ya DAWASCO hatujawahi kuyatia machoni.... tunakula chumvi, tunaoga chumvi kila kitu chumvi. Hebu wamama wa DSM mtujuze....

RussianRoulette ...big up sana kwa somo ulilotoa, but unaweza kutupatia mfano wa hizi intimate Gels na zinakopatikana! Thax.
 
Nawe umezidi sasa! Kumoiga ban baba wa watu siku zote hizo! Ila tamaduni hizi,acha tu! Kwa nini ukose uhuru kisa hiyo mvua?waiiiii!

niliendelea kukomba na maji safi, kwann uingine na kikopo, nina kibeseni kidogo binafc, hicho hata msukuma anajua kazi yake, so hakigusagi!... red...unachoogopa ni nn? c damu yako ama, mie walaaah naangalia/najisafisha vzr kabisa!...sema hapo ndio urafiki unactishwa na msukuma, hatutaoga pa1 mpaka nifunge kazi....hahahahah
 
Zipo mary rose(kama upo dar).nadhani s h amon na maduka makubwa ya vipodozi na pharmacy utapata pia. Oriflame wana feminine wipes (sio kujiogesha tena ukiwa mitaani).
big ups sana kwa mtoa mada, na wote waliotoa mawazo yao katika huu uzi. Binafsi nafikiri ni muhimu sana kusafisha kwa bibi... but huwa napata shida sana kutambua maji safi ya baridi ni yapi. Mfano.. Kwa sie wa Dar kuna baadhi ya maeneo hata hayo maji ya DAWASCO hatujawahi kuyatia machoni.... tunakula chumvi, tunaoga chumvi kila kitu chumvi. Hebu wamama wa DSM mtujuze....

RussianRoulette ...big up sana kwa somo ulilotoa, but unaweza kutupatia mfano wa hizi intimate Gels na zinakopatikana! Thax.
 
Hii sredi ni muhim sana hasa ukizingatia idadi ya wazamiaji imeongezeka. Mimi nasisitiza msiweke maperfume bana yana alcohol sasa tukilamba lamba tunaunguza midomo na ulimi (scientifical proved)
 
Utundu sasa huu... unataka kupoteza maada hapa nisha kuona.
 
RR
Hivi unabisha? kweli spirit ni mbaya sana kwa ngozi laini kama ya mdomo, sasa utakuta mdada au mkaka anajipulizia maperfume zile sehem. Hapa bado niko ndani ya mada ya usafi
 
Haya bwana, asante kwa mchango wako. Ni muhimu kuzungumza from the partner perspective pia... hahahahaha
 
Kwa wanaume:
  1. Kwanza kabisa umme wako ni sehemu muhimu sana ya mwili wako na the most valuable asset. Kwa hiyo you owe it to your penis to always keep it clean, healthy and fit for purpose. Give it the care it deserves and you may not be the only one to benefit: your partner will probably be grateful too!
  2. Ni muhimu sana kuufanyia usafi uume lakini ukiuosha sana kwa sabuni na detergents can make you sore. Kutoosha au kuosha sana inawezasababisha balanitis kwenye kichwa cha uume. So, kuwa makini hapo.
  3. Epuka kutumia talc and deodorants hasa kwa wale ambao hawajatahiriwa. Kama kuna ulazima basi tumia mild soap au non-soap cleanser kama sorbolene au glycerine cream.
  4. Osha uume wako kwa uangalifu mkubwa wakati unaoga. Kumbuka its very sensitive!
  5. Kama hujatahiriwa hakikisha unaosha uume wako kwa ndani kwa kuvuta nyuma ngozi inayofunika kichwa cha uume na kuosha kichwa kwa maji ya uvuguvugu. Hakikisha unakausha kichwa kwa kitambaa laini na kikavu kabla ya kurudisha ngozi kufunika kichwa.
  6. Osha testes zako na angalia mara kwa mara kama kuna lumps. Lumps kwenye scrotum sio cancer lakini testicular cancer ni common sana kwa vijana wa kileo.
  7. Kama ni sexually active unashauriwa kujicheki mwenyewe at least mara moja kwa mwezi baada ya kuoiga in case kama una testicular au magonjwa ya kuambukiza.
  8. Cheki scrotum yako kila unapooga. Kama ukiona kitu tofauti wasiliana na daktari mara moja.
  9. Always tumia maji ya uvuguvugu katika kuosha. Usitumie maji ya moto au baridi sana.
  10. Kama unamwogesha mtoto mdogo never forcefully pull back the foreskin of his penis as this could be painful and cause harm. Foreskin inaweza bado ikawa imejiaatach kwenye kichwa.
  11. Hata kama umetahiriwa bado kuna umuhimu wa kuwa makini wakati unapoufanyia usafi uume wako. Kutokuwa na foreskin kunafanya kichwa kuingiliwa na vumbi, jasho, nk kwa urahisi zaidi. Hakikisha unavyoa pubic hair mara kwa mara.
  12. Usisahau kusafisha sehemu nyingine zinazozunguka uume na testicles. Jasho na pubic hair zikiungana zinaleta harufu mbaya kama ya kwenye kikwapa.
  13. Kila unapooga hakikisha unaosha sehemu iliyo kati ya base ya testicles na haja kubwa.
  14. Badilisha boxer yako kila siku
  15. Osha uume wako kila baada ya kukutana na mwanamke kimwili. Usisubiri muda mrefu upite.
  16. Epuka kuweka laptop juu ya mapaja karibu na uume wako. Umme wako unahitaji fresh air mara kwa mara.
 
Asante kwa somo.Nina mazoea ya kuweka laptop kwenye mapaja si chini ya masaa manne kwa siku
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nawe umezidi sasa! Kumoiga ban baba wa watu siku zote hizo! Ila tamaduni hizi,acha tu! Kwa nini ukose uhuru kisa hiyo mvua?waiiiii!

mke mwe...hapa sio tamaduni, na yeye hawezi kuangalia hata sec 1, akiona 2 anabadlika kabisa, hahahaha utamuona anavyoamka mapema ili awahi bathroom kabla yangu......
 
Hii sredi ni muhim sana hasa ukizingatia idadi ya wazamiaji imeongezeka. Mimi nasisitiza msiweke maperfume bana yana alcohol sasa tukilamba lamba tunaunguza midomo na ulimi (scientifical proved)

na mtakuwa mnalambaga vicvyolambwa aisee, hii thread imenifungua y wanaume wengine hawawezagi kwenda uvinza kabisa, ctajiuliza tena, mnayokutanaga nayo huko ni mengi.....hahahahha...nimekumic ujue?:tongue:
 
Khaaa! Mi ndo sirudii tena kwenda huko.......... usiniulize kwanini. Unakumbuka ulivyoniuliza haya makovu mdomoni yamesbabishwa na nini sikukujibu?
 
Back
Top Bottom