Usafi katika nyeti!

nilikuelewa kabisa, but hapo ndio umenichanganya sasa, cjawahi kutoa hiyo harufu mbaya hata cku moja na huwa najisafisha kila niingiapo kuoga....kaka Riwa msaada tafadhali.
 
nilikuelewa kabisa, but hapo ndio umenichanganya sasa, cjawahi kutoa hiyo harufu mbaya hata cku moja na huwa najisafisha kila niingiapo kuoga....kaka Riwa msaada tafadhali.

Nyamayao

Mwrnzio anakusudia kujisafisha kwa kuingiza kitu kule kunakopita "ndude" ya mwanamme....na kifaa ndio hicho amekuwekea

*mie simo
 
Nyamayao

Mwrnzio anakusudia kujisafisha kwa kuingiza kitu kule kunakopita "ndude" ya mwanamme....na kifaa ndio hicho amekuwekea

*mie simo

hata mie nazungumzia kujisafisha huko huko but mwenzangu kaniacha njia panda kusema angalau mara 3 kwa week, khaaa....mhhh ...hata mie simo G....
 
hata mie nazungumzia kujisafisha huko huko but mwenzangu kaniacha njia panda kusema angalau mara 3 kwa week, khaaa....mhhh ...hata mie simo G....

Lolz

Hebu kwanza google "Douche" japo kwa Wikipedia ili mjadala wenu utufaidishe zaidi

Maana madaktari wa kizungu wanasema ufanye Zero times kabisa

*bado simo....lol
 
Lolz

Hebu kwanza google "Douche" japo kwa Wikipedia ili mjadala wenu utufaidishe zaidi

Maana madaktari wa kizungu wanasema ufanye Zero times kabisa

*bado simo....lol

nakubaliana nawe kabisa, nilishapata matatizo ya fungus, nikaenda kwa Dr wa kinamama na akanikataza nisioshe ndani ya uke kbs kwani kufanya ivyo ninaharibu utaratibu wa kule na kuweka vijidudu.

Dr Riwa msaada wako tunahuitaji tafadhali, uko wapi?
 
so wewe huko huoshagi kabisa, na ukiwa period inakuwaje achilia mbali 2 cku za kawaida? Riwa nae cjui yupo wapi leo jamani, aisee! ....na maji uliyokuwa unaya2mia yalikuwa salama?....kazi kwa kweli, huyo doc angenisamehe mana ningemwambia anipe tiba sio kuniambia nicjifanyie usafi huko, so baada ya kuacha kujisafisha fungus zimeisha?.....mhhhhh
 
Haha Nyamayao mie maswali yako tu huwa yananimaliza sana :]

Madaktari nchi zilizoendelea wanasema "kwa nini usafishe na hakujachafuka?"
 
Lolz

Hebu kwanza google "Douche" japo kwa Wikipedia ili mjadala wenu utufaidishe zaidi

Maana madaktari wa kizungu wanasema ufanye Zero times kabisa

*bado simo....lol
Nimecheka kwa nguvu hadi watu wananishangaa tu. Kwanza hicho kidude mimi situmii ila niliweka sababu kuna watu wanatumia, wengine wanatumia kidole, na wengine hawaoshi ndani kabisa.
Pia kama unavo sema kuna watu hawaoshi kabisa huko ndani (niliona dada zetu from Southafrica wanasema unatoa 'ladha') na wengine wanaosha kila siku (tena more than once), wengine wanaosha nje kila siku (more than once) ila ndani wanaosha 'when needed' na wengine hawaoshi kabisa. Na kila mmoja anakwambia method yake inamfaa na hana matatizo yoyote (which is true because mwili wake ume-adapt hivo)
So kila mtu anatakiwa asome 'production' yake na pendekezo zake (na obviously za partner wake pia).
Sasa tumsubiri Dr. Riwa aje atupe maelezo ka kitaalam zaidi.
 
Madam, uko vizuri..ingekuwa enzi zetu ulifaa uwe mwalimu wa Sayansi Kimu..sijui ulipitie hii au walikuwa wameshaifuta...nice dada
 
Umejuaje? vinginevyo badilisha kauli sema wengi huwa tuna........
 
Hiyo Red: Hatari!!! Don't practice this at home!! Mungu ataamka akutie bakora!

Kwa wanaume:
1. Piga punyeto kabla hujaoga.
2. Ukishaoga futa storongo kwa taulo safi
3. Imwagie spiriti, au valuu kama spiriti iko mbali
4. Vaa Boxer iliyo safi, usivae chupi bana, kivazi cha kike hicho.
5. Ukikojoa hakikisha unatema mate
6. Baada ya kukojoa irudishe storongo kwa boxer ielekee upande wa kushoto.
7. Usinyoe vuzi, kunyoka kwawahusu wanawake. Kama waweza vuzi lisuke rasta
8. Ukifanya vaginal sex, malizia na anal sex (kusugua ili iwe safi zaidi na zaidi) Then kaoge na kuisugua kwa brashi ya nailoni, ofkozi hiyo ni baada ya kufanya kitendo namba 1 hapo juu.

Kama kuna swali, napatikana kwenye PM zaidi.
 
nilikuelewa kabisa, but hapo ndio umenichanganya sasa, cjawahi kutoa hiyo harufu mbaya hata cku moja na huwa najisafisha kila niingiapo kuoga....kaka Riwa msaada tafadhali.

Nyamayao

Mwrnzio anakusudia kujisafisha kwa kuingiza kitu kule kunakopita "ndude" ya mwanamme....na kifaa ndio hicho amekuwekea

*mie simo

hata mie nazungumzia kujisafisha huko huko but mwenzangu kaniacha njia panda kusema angalau mara 3 kwa week, khaaa....mhhh ...hata mie simo G....

Lolz

Hebu kwanza google "Douche" japo kwa Wikipedia ili mjadala wenu utufaidishe zaidi

Maana madaktari wa kizungu wanasema ufanye Zero times kabisa

*bado simo....lol

nakubaliana nawe kabisa, nilishapata matatizo ya fungus, nikaenda kwa Dr wa kinamama na akanikataza nisioshe ndani ya uke kbs kwani kufanya ivyo ninaharibu utaratibu wa kule na kuweka vijidudu.

Dr Riwa msaada wako tunahuitaji tafadhali, uko wapi?

Haha Nyamayao mie maswali yako tu huwa yananimaliza sana :]

Madaktari nchi zilizoendelea wanasema "kwa nini usafishe na hakujachafuka?"

Kheee! Nyie wamama mtafanya huu msredi uhamishiwe kwenye jukwaa la Maria Roza na funzadume!

Kulaaaleki walah!
 
Aspirin

Huuh "kutema mate" tena!

Mjamzito??
 
Aspirin

Huuh "kutema mate" tena!

Mjamzito??
Swali la kizushi:

Ushawahi kumwona mwanaume anakojoa asiteme mate?
Au mwanamke akimwaga kojo bila kuachia kaushuzi kiduchu? (hapa nazungumzia wanaojojoa wakiwa wamechuchumaa) LOL
 
Swali la kizushi:

Ushawahi kumwona mwanaume anakojoa asiteme mate?
Au mwanamke akimwaga kojo bila kuachia kaushuzi kiduchu? (hapa nazungumzia wanaojojoa wakiwa wamechuchumaa) LOL

Duh .....hili suali kweli nimekosa majibu!
 
Usisahau kila baada ya tendo kunawa!!!!!, mmh kuna watu wengine huunganisha mabao siku nzima hawatoi hata nafasi ya kupumzika, hapo napo je wana jf?
 
Nyamayao ukiwa na tatizo hasa ugonjwa kama umekusumbua kwa muda mrefu na umetumia dawa zinazotakiwa na huponi hakika utakachoambiwa utumia ili upone utatumia.

Mie nilivyoambiwa na yule Dr niliacha kujisafi kwa ndani siingizi kidole/maji kwa ajili ya kujisafisha, alinipa dawa nikatumia na tokea wakati ule sijasumbuliwa tebna na fungus

Niliulizwa kwa nini unasafisha kule?? nikamwambia Dr najisafi kwa sababu kuna uchafu kule, nikaulizwa huwa unatoka wapi?? huo uchafu unasababishwa na nini??, na Dr akaniambia niache mara moja kufanya ivyo kwa kuwa hata maji tunayotumia kujisafi kule ni ya bombani (dawasco) kwa wale walioko bongo, sio masafi kivile, akaniambia labda nikitaka kufanya ivyo nitumia product za oriframe wanazo kwa ajili ya ujisafi kule, na akanitajia na nyingine( sikumbuki jina), Ila mie binafsi nikaona isiwe tabu, nilipokuwa kigoli , shuleni, chuo mbona nilikuwa sisafishi? na sikuwahi kupata haya matatizo? nikatupa mbali habari ya kusafisha kule, na nipo poa tu.

Dr aliniambia kule panajisafisha penyewe.vingi tunaponzwa na huu utandawazi.
 
Dhu! Aspirin utawaponza wenzio, lol
 
Ikunda

Kwani ulianza usafi wa aina ile kisa utandawazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…