Usafi kipindi cha hedhi yepi mnayokutana nayo

haya ngomazito!....beg-party phase one!....TO BE CONTINUED
 
Kuhusu hili, sijui tutakusaidiaje, kama bht alivyosema usafi ni kasumba ya mtu. hainiingi akilini mtu kakaa na pedi used kwa week mbili. haya ni matatizo ya mkeo.


Naona hapa wengi wanamshambulia mke wa ngomanzito,lakini lililoelezwa ni kwamba utakuta vifaa vinavyotumiwa na wanawake wakiwa hedhini vimezagaa hovyo sehemu mbalimbali,kwanini?suala na pedi zilizotumika kukaa kwa wiki mbili ni mojawapo ya hoja.

Hivyo nadhani tueleweshwe kawnini zinazagaa hovyo baada ya matumizi,hata mimi nilipokuwa chuo kikuu tatizo hili lipo sana hata kwenye dustbin za kwenye corridor.
 

need i say more?
 
Inakuwaje na wale ambao utaona amejisahau tupo church unakuta wazungu wanashuka gafla miguuni.
 
ZISI IIIZ VERE SADI!elizabeth hawezi kuwa kama mke wa huyu muhuni!lol.....adhawaisi nigeshahama baa mpwa!(NA HUDUMA NINGESITISHA!ha ha ha)

MPWAAA! Hebu mtresi kakimbilia wapi nimfuate hukohuko! Bado sijamalizia hasira zangu vizuri! Yani anawaita mama zetu wachafu! Nyambafu sana!
 
Kwa elimu aliyopata hapa jamvini naamini atarudi na ujumbe kwa maiwaifu wake na kumwambia jamvini wamesema wanawake wenzio hawafanyi hivyo. Huwa si vibaya kama mtu hafahamu kitu akauliza kwa maswahiba kama hapa JF, naamini ushauri mliompa unamtosha. Ila wapwa wengine wanatumia maneno makali sana kufundisha bahati mbaya waweza kumkatisha tamaa mwanafunzi kuuliza maswali.
 

Yani unataka kuniambia vifaa gani unavikuta vimezagaa wapi? huyu mkwewe tunamshambulia kama ulivyosema kwa sababu anatunza uchafu kwa wiki hadi mbili ndani ya nyumba, wewe unadhani hii ni sawa? achana na mambo ya vyuoni ya kuigiza yale, we are talking about real life here, we are talking about a woman, a wife, and probably a mother! Its far more different from a student who doesnt care coz they are hundred of them at one place so no body cares (though ni wachache kama hawa ndo wanafanya haya) But this is her house, her home. No wonder wenye tabia hizi ndo haohao wanaochafua hata vyuoni au mabarabarani ambako pedi zinazagaa, kila mwanamke akiwa anadispose pedi properly hatutakuwa na haya matatizo.
 
MPWAAA! Hebu mtresi kakimbilia wapi nimfuate hukohuko! Bado sijamalizia hasira zangu vizuri! Yani anawaita mama zetu wachafu! Nyambafu sana!
Nadhani ulipokuwa ukihesabu akakimbia kuogopa hasira zako. atarudi tu!
 

Wanaovizagaza ni mke wa ngomanzito na mashoga zake!! Wanawake wenye busara hawafanyi upuuzi huo. Agrrrrrr!
 

Unauliza majibu?
Simple answer is kuna wanawake kama huyu wa jamaa ambao hawajishughulishi na usafi wa miili yao na matokeo yake ndio kutupa ovyo.Unashangaa pedi mitaani? Hujasikia watu huweka kinyesi kwenye mifuko ya plastic na kutupa ovyo barabarani?

On a serious note though, garbage disposal is an issue in most parts of Tanzania.Pia utupaji wa pedi ni matokeo ya kusahau maadili tuliyopewa kufuatana na mila na desturi zetu.Makabila mengi huwafunda wasichana/wanawake kuwa ni fedheha kubwa mtu kukutambua uko kwenye hali hiyo hivyo ni muhimu kuwa msafi.Pia kulikuwa na mafundisho ya kutisha yaliyolenga kuwafanya wanawake wawe makini kwenye hali hiyo.Nakumbuka kwa mfano wanawali walielekezwa kuwa ukitupa hiyo kitu ovyo, inaweza kuchukuliwa na wachawi wakakuroga usizae kamwe! Utakuta hii haikuwa kweli lakini wanawake walikuwa makini sana kuliko siku hizi za utandawazi ambapo pads hutangazwa hadharani kwenye TV, Radio, magazeti bila aibu yoyote.
 
Inakuwaje na wale ambao utaona amejisahau tupo church unakuta wazungu wanashuka gafla miguuni.
haya tena mengine! kwa ufupi watoto wapewe elimu ya kujitambua na kutambua miili yao ili wazijue hata dalili kama hawajui mzunguko wao so that wawe wanajiandaa muda wote ili kuepusha haya. wazazi watake responsibilities zao.
 
Kuhusu suala la wifi yetu huyu ni suala zito but ushauri amepewa na VC so ni uamuzi wake kumrekebisha mwenyewe na si kumtangaza hapa kwani hajui ni sawa na kujidhalilisha yeye mwenyewe?

Kuhusu kuzagaa kwa hizo zana mara nyingi utakuta kina mama wengi wanazitupa majalalani ambako kama tujuavyo mbwa, kunguru n.k vinapita na kusambaza hovyo uchafu including hizo zana si lazima mtu binafi atupe tupe.
So kama alivyosema VC dawa ni kuchoma moto.
 
kuna mambo mengine ambayo ni private sana kwa mwanamke na hapendi hata mumewe aone, kama kweli anafanya hivyo, atakuwa kidogo zimeloose kichwani.
 
nimejaribu kumtrace anyhow hapatikani,AMESAINI-AUTI!kwa mujibu wa records za seva aliyoitumia wakati anajiandikisha INAONEKANA YUPO URUSI!wanawake wa urusi watakuwa ni wachafu sana
 
haya tena mengine! kwa ufupi watoto wapewe elimu ya kujitambua na kutambua miili yao ili wazijue hata dalili kama hawajui mzunguko wao so that wawe wanajiandaa muda wote ili kuepusha haya. wazazi watake responsibilities zao.

Mtoto wapi mtu mzima na ana watoto kabisa.
Watu tunakemea shetani duh kucheki chini cement inageuka langi inakuwaje iwa hamjitambui au ndo uzembe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…