Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
Am still counting 5....4.... Akichelewa namwambia mpwa geoff ampe pamanenti bani! Shwaini!
....................3..................2......................!😀
huyu leo tunae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am still counting 5....4.... Akichelewa namwambia mpwa geoff ampe pamanenti bani! Shwaini!
hajawasomaga huyu inaelekea!!!
Kipindi cha hedhi wakina mama wengi hutumia njia mbalimbali kujisafi wengine hutumia pedi wengine vipande vya kanga na wengine maji tu yatosha.
Lakini baada ya kutumia vifaa hivyo namna ya kuvitunza kwa ajili ya kwenda kuvitupa mara nyingi utakuta pedi zimezagaa kila mahali.
Mie jambo hili linanikera mno wife utakuta wakati mwingine pedi alizotumia kaziweka kwenye fuko zaidi ya wiki mbili baada ya period.
Wakina mama kuweni wasafi mnatisha
Je wewe ushakumbani na hii adha??
he he he!Watu wengine bana. Wanajidamkia wanaamua kuanzisha thread za kutukana watu! Ndio madhara ya kuoa machangu ya kambi ya fisi! Usafi ni ziro!
kijana amepotea kwenye ramani!
SAIKOLOJIKO ATTACK hiyo!
namsubiri engo thita
Watu wengine bana. Wanajidamkia wanaamua kuanzisha thread za kutukana watu! Ndio madhara ya kuoa machangu ya kambi ya fisi! Usafi ni ziro!
Muheshimiwa daaa! umechemsha ile mbaya
ina maana mkeo habadili yake tabiya?
ulimwonya mara ngapi b4 ku'leza haya?
Mzee kwenye hili I dont feel ya.
Samahani lakini avatar yako nilijua we she.
ha ha ha ha kumbe wewe ni he?
kijana amepotea kwenye ramani!
SAIKOLOJIKO ATTACK hiyo!
namsubiri engo thita
you have said it WELL!........Dah! huyu jamaa hajatulia hata kidogo. yani badala ya kukaa na kudiscuss na mkewe jinsi ya kuwa msafi anaishia kutuambia mkewe anatunza pedi wiki mbili. btw ni chumbani au, hakunuki kama mochwari?au akama anashidwa namuomba anitafute nimpe kitchen party mkwewe ebo! lakini habari za kutudhalilisha hapa wanawake wote nasema marufuku!
he he he!
HUYU LEO AMENUSURIKA!ningempa za chembe!watu tumechoka na pombe za bure za meneja wa titaniki mtu analeta matuci hapa?!EBOO!
Dah! huyu jamaa hajatulia hata kidogo. yani badala ya kukaa na kudiscuss na mkewe jinsi ya kuwa msafi anaishia kutuambia mkewe anatunza pedi wiki mbili. btw ni chumbani au, hakunuki kama mochwari?au akama anashidwa namuomba anitafute nimpe kitchen party mkwewe ebo! lakini habari za kutudhalilisha hapa wanawake wote nasema marufuku!
ZISI IIIZ VERE SADI!elizabeth hawezi kuwa kama mke wa huyu muhuni!lol.....adhawaisi nigeshahama baa mpwa!(NA HUDUMA NINGESITISHA!ha ha ha)Hebu imajini hata kina Eliza nao kawajumuisha! LOL!
Hehehehheeee,Inviziboooo,Shem bana nakuaminia.nakushauri uombe radhi!.....adhawaisi utachezea ban