ngoma nzito hana mke, wala hajawai ishi na mwanamke ndiyo maana mnapomwambia aombe radhi hawezi kufanya hivyo kwani anachoongea hakina ukweli zaidi ya kuwa ni uharibifu tu wenye kulenga kudhalilisha jinsia moja. kwakuwa alidhamiria kufanya hivyo hawezi kuomba msamaha. Hata wana JF wenye wake, wenye dada, hata wanao ishi na wazazi wao wa kike, wanaweza kusema ni lini waliwai ona pedi zilizotumika majumbani kwao.Binafsi sijawai kuona. huyu ngoma nzito anamatatizo yake, ndo maana anathubutu kusema eti wanawake wengine hutumia maji wakati wa hedhi, ivi mnaona hilo linaingia akilini???? tumia maji kukusanya damu????. .
zaidi ni kuwa kama ngoma nzito ameoa kwa kufuata taratibu za kuoa, ninauhakika ananamna ya kumfanya mkewe aweze jua usafi nininni???, kibaya ni kuwa haiwezekani damu ikae chumbani wiki mbili na hicho chumba kinatumika na wanadamu, eti hata anaweka ******, choo kinaziba, kwani ni mwanadamu gani asiyejua kuwa pad ni nguo ngumu isiyoyeyuka kwenye maj?, aache uongo na umbea.
ngomanzito usilete habari za vyuoni na majumbani kwa watu, hayo ni maeneo tofauti. hayawezi lingana hata kidogo kulinganisha huko kunaonyesha udhaifu na uvivu wako wa kufikiri
sielewi umeleta maada ili watu wajadili sababu za kutupa pad ovyo, au namna yakumfanya mkeo awe msafi. kama ni kutaka mkeo awe msafi basi kwanza useme juhudi gani umefanya wewe mwenyewe kuhakikisha mwenzio anakuwa msafi, kama ni juu ya pad kutupwa ovyo, mkeo na pad za wiki mbili chumbani zinaingiaje kkt mada yako
mwisho napendekeza hii maada ifungwe kwani haijengi, wala haimsaidii hata huyo mwanamke anayezungumziwa hapa. ngoma nzito hawezi lazimishwa kuomba msamaha, bali walioona udhaifu wa maada , ni bora waifunge.