keizerjohn
Senior Member
- May 12, 2013
- 113
- 14
Nimeona nililete hili sababu watu wengi hutoa harufu mbaya mdomoni, na wengine meno huoza kinywani. Tujifunze na tujirekebishe!
tufundishe basi,mbona umekuj tu na maelezo ya awali kama unauza bidhaa za wachina wenye mabasi mkuu, mwaga vitu basi!
Busu kama kawa
Nimeona nililete hili sababu watu wengi hutoa harufu mbaya mdomoni, na wengine meno huoza kinywani. Tujifunze na tujirekebishe!
Busu kama kawa
Busu kama kawa
Mh hili balaa,just imagine ndio mumeo (kwa wanawake) ni asubuhi hajapiga hata mswaki na anataka denda inakuwaje pale!:teeth::teeth:Busu kama kawa
Wana JF, kuna hili suala la usafi wa kinywa. Kwa utani wengine wanaema "jino moja mswaki wa nini" na pia mswaki unaitwa mswaki wa meno!
Je ni mswaki wa meno au wa kinywa?
Je ni wngapi hutumia dakika tano kupiga mswaki?
Je sio wengi wanasugua meno kwa nje tu kwa dkk mbili?
Je sehemu nyingine za kinywa kama fizi, ulimi, juu Na katikati na upande wa ndami wa meno ke?
Je unaweza kutimia chini ya dakika tano kweli kusugua Na kusafishwa vema kinywa chote?
Mh hili balaa,just imagine ndio mumeo (kwa wanawake) ni asubuhi hajapiga hata mswaki na anataka denda inakuwaje pale!:teeth::teeth:
Kweli kuna wengne ukikusemesha asubuh utadhan chemba la stend
Kuna moja ninaye ofisini nashindwa jinsi ya kumueleza kwakweli.
Mkuu hili tatizo limekuwa kubwa tupe elimu basi.
Eh haya bana,kwahiyo mkiwa mnafanza ile kitu asubuhi-subuhi kale ka-smell kanaondokaga!au huwa mnapiga mswaki halafu mnaendelea tena?si mnakuwa mmelala wote na kazi imeendelea usiku kucha kama kawa
hapo mswaki ni baadae mkiamka.