Usafi wa kinywa: Meno na Ulimi

Usafi wa kinywa: Meno na Ulimi

keizerjohn

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Posts
113
Reaction score
14
Wana JF, kuna hili suala la usafi wa kinywa. Kwa utani wengine wanaema "jino moja mswaki wa nini" na pia mswaki unaitwa mswaki wa meno!
Je ni mswaki wa meno au wa kinywa?
Je ni wngapi hutumia dakika tano kupiga mswaki?
Je sio wengi wanasugua meno kwa nje tu kwa dkk mbili?
Je sehemu nyingine za kinywa kama fizi, ulimi, juu Na katikati na upande wa ndami wa meno ke?
Je unaweza kutimia chini ya dakika tano kweli kusugua Na kusafishwa vema kinywa chote?
 
Nimeona nililete hili sababu watu wengi hutoa harufu mbaya mdomoni, na wengine meno huoza kinywani. Tujifunze na tujirekebishe!
 
UglyTeeth.jpg
Busu kama kawa
 
Nimeona nililete hili sababu watu wengi hutoa harufu mbaya mdomoni, na wengine meno huoza kinywani. Tujifunze na tujirekebishe!

tufundishe basi,mbona umekuj tu na maelezo ya awali kama unauza bidhaa za wachina wenye mabasi mkuu, mwaga vitu basi!
 
tufundishe basi,mbona umekuj tu na maelezo ya awali kama unauza bidhaa za wachina wenye mabasi mkuu, mwaga vitu basi!

Ukisoma vema hoja zangu utakuwa tayari umejifunza. Au fanya kama unajibu hayo maswali, ndio kujofunza lwenyewe hivyo. Pia zingatia kununua mswaki bora na kuutumia kwa muda usiozidi wiki mbili. Huo ni usafi tu, kama kuna mtaalamu ajazie zaidi. Hili ni somo pana sana na hapa tunakumbushana tu. Poa
 
UglyTeeth.jpg
Busu kama kawa

Haya sasa. Si unamuona alivyo nyele na ndevu? Atakumbuka kusafisha vema kinywa?
Ila kuna kitu zaidi umenifundisha, inawezekana mtu mchafu eneo moja huwa na uzembe eneo jingine zaidi ya hilo au?!
 
Mkuu hili tatizo limekuwa kubwa tupe elimu basi.
 
Mkuu hili tatizo limekuwa kubwa kwa watanzania wengi tunashukuru kumbe tatizo ni kutosafisha kwa dakika tano.
 
Kweli kuna wengne ukikusemesha asubuh utadhan chemba la stend
 
Wana JF, kuna hili suala la usafi wa kinywa. Kwa utani wengine wanaema "jino moja mswaki wa nini" na pia mswaki unaitwa mswaki wa meno!
Je ni mswaki wa meno au wa kinywa?
Je ni wngapi hutumia dakika tano kupiga mswaki?
Je sio wengi wanasugua meno kwa nje tu kwa dkk mbili?
Je sehemu nyingine za kinywa kama fizi, ulimi, juu Na katikati na upande wa ndami wa meno ke?
Je unaweza kutimia chini ya dakika tano kweli kusugua Na kusafishwa vema kinywa chote?

sasa nini kifanyike kukaribiana na hiyo harufu ya kinywa?
 
si mnakuwa mmelala wote na kazi imeendelea usiku kucha kama kawa
hapo mswaki ni baadae mkiamka.

Mh hili balaa,just imagine ndio mumeo (kwa wanawake) ni asubuhi hajapiga hata mswaki na anataka denda inakuwaje pale!:teeth::teeth:
 
si mnakuwa mmelala wote na kazi imeendelea usiku kucha kama kawa
hapo mswaki ni baadae mkiamka.
Eh haya bana,kwahiyo mkiwa mnafanza ile kitu asubuhi-subuhi kale ka-smell kanaondokaga!au huwa mnapiga mswaki halafu mnaendelea tena?
 
Back
Top Bottom