Usafi Wa Mavazi

Nauza mitumba natembea sio chini ya kilometa 20 kwa siku...

Kwahiyo kutembea ndio kunakufanya usivae? bado hujanishawishi..... kwahiyo endapo suruali itaanguka?
 
kuna mtu atakuja kukwambia humu faida ya kutovaa chupi, tena ni maarufu kwenye jukwaa hili. ila hata mimi sioni faida ya pichu
Usivae chupi wewe mjamzito? useme unamimba ya mienz tisa muda wowote utazaa! mbona mnamambo ya ajabu
 
Kabisa we ni kama mimi Nina boxer nyingi lakin sina hata inerest za kuzivaa! Huwa napenda kuvaa pensi tu au bukta naziacha bom zinapigwa upepo!

Sasa ulizinunua za nini?
 
Kwahiyo kutembea ndio kunakufanya usivae? bado hujanishawishi..... kwahiyo endapo suruali itaanguka?

Hiyo inakuwa ajali kazini...ww muda wote unavaa c.h.u.p.i?
 
Ila nguo ya ndani ni ya kujali sana iwe nzuri na nafhifu ndo vizuri.....
 

hizi mada za nguo za ndani nishazisoma humu zaidi ya mara kumi!!! nafikiri walengwa washapata somo. yatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…