Usafi Wa Mavazi

Usafi Wa Mavazi

Jamani nguo za ndani ni muhimu sana. Kwa mdada unapaswa kuwa safi muda wote usifikiri kwamba hakuna atakaye kuja kuona ndani umevaa nini, ya dunia mengi ipo siku usiyojua unaweza ukaumwa ghafla ukasaidiwa na watu wengine ndipo utaona aibu.

Shame on you mnaovaa pichu hadi zinachanika lakini bado tu unaivaa, skin tight hadi inachakaa bado tu unayo, blazia hadi unaishona shona bado tu unayo.

Kwa Wakaka, unavaa Vest siku nne had wiki, yani vest chafu, boxer ndo usiseme. Jamani tujipende ya Mungu mengi huwez kujua lini utaanguka. Leso ni kitambaa kidogo sana lakini ni muhimu mno, tujifunze kutembea na kutumia Leso jamani.

Aibu, mdada umevaa vizuri huna leso, jasho wajifuta kwa mkono.

Hivi mleta mada umesha jaribu wewe binafsi Going Commando?
 
Do people like that exist humu JF? Sidhani, nafikiri ungetoa hiyo kwenye audience nyingine.

Ni mada nzuri sana, maana huwa saa nyingine nasikia harufu ya kikwapa humu ndani
 
Back
Top Bottom