Hii ndio aina ya stendi kuu kwa mabasi makubwa ya mikoani kwenye jiji la Kampala
Usafiri wa daladala bado wanatumia vipanya. kunyoosha miguu ni taabu, kichwa kinakaribia kugusa dali, ukikosa siti huwezi kusimama utainama tu, na kama ni mtu mrefu kuanzia futi 6 utapata tabu sana.
Hivyo vipanya kwa Tz tuliviacha tukaingia kwenye Hiace, tukaingia kwenye DCM na Coaster na sasa tupo kwenye Mwendo kasi shida ni usimamizi tu
Biongozi wao kama mtoto wa Museveni wanaishi maisha ya kifahari sana, anajisifu live mtandaoni kamzidi Jay Z utajiri, na kweli hatanii maana kodi za wananchi wanajichotea wanavyotaka.