Usafiri nchini Uganda bado uko nyuma sana; hakuna stendi za kisasa kuna maegesho ya mabasi, bado wanatumia vipanya kama daladala

Usafiri nchini Uganda bado uko nyuma sana; hakuna stendi za kisasa kuna maegesho ya mabasi, bado wanatumia vipanya kama daladala

Kwa kweli nchi nyingi Africa zinafanana kwa mambo mengi tu

Ila ukikinganisha majiji ya Dar na Kampala
Kwa kweli Kampala iko nyuma sana.
Ni pachafu sana nafikiri ni sababu ya udongo wao mwekundu unafanya mji uonekane tofauti sana.

Ila usafiri wao sijui sana maana Sulawesi kupanda ,ila kuna amani
 
Ila wana
Hii ndio aina ya stendi kuu kwa mabasi makubwa ya mikoani kwenye jiji la Kampala

View attachment 3448227

Usafiri wa daladala bado wanatumia vipanya. kunyoosha miguu ni taabu, kichwa kinakaribia kugusa dali, ukikosa siti huwezi kusimama utainama tu, na kama ni mtu mrefu kuanzia futi 6 utapata tabu sana.

Hivyo vipanya kwa Tz tuliviacha tukaingia kwenye Hiace, tukaingia kwenye DCM na Coaster na sasa tupo kwenye Mwendo kasi shida ni usimamizi tu

View attachment 3448230

Biongozi wao kama mtoto wa Museveni wanaishi maisha ya kifahari sana, anajisifu live mtandaoni kamzidi Jay Z utajiri, na kweli hatanii maana kodi za wananchi wanajichotea wanavyotaka.
Ila wana wanawake wa zuri kimaumbo and well civilised kuliko sie
 
Wameanza mradi kama wa TACTIC wa benki ya Dunia labda mambo yatakuwa Mazuri.

Lakini inashangaza Nchi ndogo na Tajiri kama Uganda kuwa ya hovyo
 
Ila waganda Kwa rushwa hatari haupati soko mpaka utoe kitu
 
Ufanye research ya kutosha kabla hujakurupuka kusema hayo maneno, mwendokasi yenyewe imegeuka kero viongozi wameshindwa kuiendesha, watu wanabanana sana, kupata usafiri ni changamoto
Unataka research ya nini. Achana na uendeshaji. But miundombinu tunayo bora kuliko nchi yeyote Eastern and central Africa. Sifia CHAKO mzee achana na umbea. Mmekuwa mnawasifia wakenya kuliko mnavyo Sifia Familia zenu. This is very stupid. Kenya ni machokoraa hawatakiwi kusifiwa
 
Back
Top Bottom