Wako.nyuma kimaendeleoHii ndio aina ya stendi kuu kwa mabasi makubwa ya mikoani kwenye jiji la Kampala
View attachment 3448227
Usafiri wa daladala
View attachment 3448230
Naunga mkono hoja yako,lakini kwa sisi waafrika,haifai kumtukana aliyekuzidi umri.Huyo Babu wa Uganda aje Tanzania kuchukua darasa la maendeleo.
Amekaa tu hapo ikulu anajamba jamba kichwa kimeoza hakina maarifa.
Ni magari ya kifahari, viongozi wanajichotea watakavyo kwenye kodi za wananchi bila kujali wanachi wao wanaishi vipi,Tuoneshe na magari ya viongozi wao.
Tuoneshe na MSAFARA WA RAISI WAO
WANAJIVUNIA KUONGEA NGELI yenye lafudhi ya kibaganda, na Mashoga jasiri (LGBTQ) wanapigania haki ya kutambuliwaWako.nyuma kimaendeleo
Mwafrika alisahili UTUMWA. naumiq kuqndika hivi lakini sina namna yakuelezea hisia zanguNi magari ya kifahari, viongozi wanajichotea watakavyo kwenye kodi za wananchi bila kujali wanachi wao wanaishi vipi,
sio kwenye kiingerezaUganda ndo kibonde wetu Tanzania Kila eneo, At least Kenya ndo anatupelekesha
sisi warefu havitufai hivyo ni kwaajil ya watoto wa primaryHivyo vipanya sehemu hakuna foleni vinakimbia hatari
Hata ukiwa na urefu wa kawaida kunyoosha miguu ni taabu, kichwa kinakaribia kugusa juu,sisi warefu havitufai hivyo ni kwaajil ya watoto wa primary
Single minded administrationHii ndio aina ya stendi kuu kwa mabasi makubwa ya mikoani kwenye jiji la Kampala
View attachment 3448227
Usafiri wa daladala bado wanatumia vipanya. kunyoosha miguu ni taabu, kichwa kinakaribia kugusa dali, ukikosa siti huwezi kusimama utainama tu, na kama ni mtu mrefu kuanzia futi 6 utapata tabu sana.
Hivyo vipanya kwa Tz tuliviacha tukaingia kwenye Hiace, tukaingia kwenye DCM na Coaster na sasa tupo kwenye Mwendo kasi shida ni usimamizi tu
View attachment 3448230
Biongozi wao kama mtoto wa Museveni wanaishi maisha ya kifahari sana, anajisifu live mtandaoni kamzidi Jay Z utajiri, na kweli hatanii maana kodi za wananchi wanajichotea wanavyotaka.
Kama Kenya 🇰🇪 tu. Kwa East Africa Tanzania Ndo tumeendelea. Tunatumia mabasi mapya with 0 km. Kenya bado wanatumia mabasi ya mabodi ya kuchonga. Magufuli tumshukuru sana ndani ya miaka yake 6 aliinyanyua Tanzania pakubwa sana. Ngoja tusubiri mama naye miaka yake mitano.Hii ndio aina ya stendi kuu kwa mabasi makubwa ya mikoani kwenye jiji la Kampala
View attachment 3448227
Usafiri wa daladala bado wanatumia vipanya. kunyoosha miguu ni taabu, kichwa kinakaribia kugusa dali, ukikosa siti huwezi kusimama utainama tu, na kama ni mtu mrefu kuanzia futi 6 utapata tabu sana.
Hivyo vipanya kwa Tz tuliviacha tukaingia kwenye Hiace, tukaingia kwenye DCM na Coaster na sasa tupo kwenye Mwendo kasi shida ni usimamizi tu
View attachment 3448230
Biongozi wao kama mtoto wa Museveni wanaishi maisha ya kifahari sana, anajisifu live mtandaoni kamzidi Jay Z utajiri, na kweli hatanii maana kodi za wananchi wanajichotea wanavyotaka.
Ufanye research ya kutosha kabla hujakurupuka kusema hayo maneno, mwendokasi yenyewe imegeuka kero viongozi wameshindwa kuiendesha, watu wanabanana sana, kupata usafiri ni changamotoKama Kenya 🇰🇪 tu. Kwa East Africa Tanzania Ndo tumeendelea. Tunatumia mabasi mapya with 0 km. Kenya bado wanatumia mabasi ya mabodi ya kuchonga. Magufuli tumshukuru sana ndani ya miaka yake 6 aliinyanyua Tanzania pakubwa sana. Ngoja tusubiri mama naye miaka yake mitano.