Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Ila wana wanawake wa zuri kimaumbo and well civilised kuliko sieHii ndio aina ya stendi kuu kwa mabasi makubwa ya mikoani kwenye jiji la Kampala
View attachment 3448227
Usafiri wa daladala bado wanatumia vipanya. kunyoosha miguu ni taabu, kichwa kinakaribia kugusa dali, ukikosa siti huwezi kusimama utainama tu, na kama ni mtu mrefu kuanzia futi 6 utapata tabu sana.
Hivyo vipanya kwa Tz tuliviacha tukaingia kwenye Hiace, tukaingia kwenye DCM na Coaster na sasa tupo kwenye Mwendo kasi shida ni usimamizi tu
View attachment 3448230
Biongozi wao kama mtoto wa Museveni wanaishi maisha ya kifahari sana, anajisifu live mtandaoni kamzidi Jay Z utajiri, na kweli hatanii maana kodi za wananchi wanajichotea wanavyotaka.
Vinatosha mbona ug kuna warefu na wanapanda mnakaa wanne hakuna kusimamasisi warefu havitufai hivyo ni kwaajil ya watoto wa primary
Kwa wanawake labda tabia sijajua lakini kwenye Urembo Tanzania ipo mbaliIla wana
Ila wana wanawake wa zuri kimaumbo and well civilised kuliko sie
Sijakutana nao zingine zipo safiBado kwenye hivo vipanya Kuna kunguni wakutosha.
Nimespecify kwenye MAUMBO na ustaarabuKwa wanawake labda tabia sijajua lakini kwenye Urembo Tanzania ipo mbali
Kuna baadhi wanatabia mbaya na roho mbaya Wana wivu wa ajabu Kwa wanawake wenzaoKwa wanawake labda tabia sijajua lakini kwenye Urembo Tanzania ipo mbali
Wameanza mradi kama wa TACTIC wa benki ya Dunia labda mambo yatakuwa Mazuri.Hii ndio aina ya stendi kuu kwa mabasi makubwa ya mikoani kwenye jiji la Kampala
View attachment 3448227
Usafiri wa daladala bado wanatumia vipanya. kunyoosha miguu ni taabu, kichwa kinakaribia kugusa dali, ukikosa siti huwezi kusimama utainama tu, na kama ni mtu mrefu kuanzia futi 6 utapata tabu sana.
Hivyo vipanya kwa Tz tuliviacha tukaingia kwenye Hiace, tukaingia kwenye DCM na Coaster na sasa tupo kwenye Mwendo kasi shida ni usimamizi tu
View attachment 3448230
Biongozi wao kama mtoto wa Museveni wanaishi maisha ya kifahari sana, anajisifu live mtandaoni kamzidi Jay Z utajiri, na kweli hatanii maana kodi za wananchi wanajichotea wanavyotaka.
Hana lolote la kutupelekwshaUganda ndo kibonde wetu Tanzania Kila eneo, At least Kenya ndo anatupelekesha
Vya familia Yako na kibaraka wenu labdaHapa tanzania mpaka vyoo ni msaada wa wazungu
Unataka research ya nini. Achana na uendeshaji. But miundombinu tunayo bora kuliko nchi yeyote Eastern and central Africa. Sifia CHAKO mzee achana na umbea. Mmekuwa mnawasifia wakenya kuliko mnavyo Sifia Familia zenu. This is very stupid. Kenya ni machokoraa hawatakiwi kusifiwaUfanye research ya kutosha kabla hujakurupuka kusema hayo maneno, mwendokasi yenyewe imegeuka kero viongozi wameshindwa kuiendesha, watu wanabanana sana, kupata usafiri ni changamoto