Zinabeba madini ya kongo abiria ni subsidiary tuUkiwa DRC Congo ni rahisi kupanda ndege kuliko ukiwa Tanzania , hata ukiangalia Kodi za magari tunayoagiza Tanzania iko juu kuliko nchi nyingi ,
Kenya Airways wenyewe maafisa wao walishadakwa mizigo wanajaza madini yaliyoibiwa kongo wewe abiria unakaa kwenye kiti kama human shield tu
Ndege nyingi safirisha abiria kongo wezi wa madini abiria unapewa lift tu ndio maana waweza weka kanauli kadogo kuzuga .Pesa ya mzigo wa madini wanaolipa wezi wa madini yaweza kuwa sawa na safari 10 za abiria za ndege kwenda na kurudi kongo
Mambo ya ndege yana mengi usiangalie nauli tu ukaona ndogo basi unarukaruka na kudhalilisha ATCL yako wasioiba cha mtu