Usafiri wa Anga Tanzania chini ya ATCL ni ghali kuliko hata usafiri kutoka Bara moja kwenda lingine kwa mataifa mengine

Zinabeba madini ya kongo abiria ni subsidiary tu

Kenya Airways wenyewe maafisa wao walishadakwa mizigo wanajaza madini yaliyoibiwa kongo wewe abiria unakaa kwenye kiti kama human shield tu

Ndege nyingi safirisha abiria kongo wezi wa madini abiria unapewa lift tu ndio maana waweza weka kanauli kadogo kuzuga .Pesa ya mzigo wa madini wanaolipa wezi wa madini yaweza kuwa sawa na safari 10 za abiria za ndege kwenda na kurudi kongo

Mambo ya ndege yana mengi usiangalie nauli tu ukaona ndogo basi unarukaruka na kudhalilisha ATCL yako wasioiba cha mtu
Daaah we jamaa😂😂 watu wame elimika siku hizi ebu ongea hoja za maana
 
Shida ni bongo za tuliowapa mamlaka, ni washamba, wanachukulia vitu vingi kama ANASA. Hatuwezi kutoboa, kuagiza ka IST tu kodi mlima, gari linaonekana ANASA.
Wajue umuhimu wa muda ulimwengu huu, kwenye kila kitu anasa hazikosekani, ila zinaenda kwa madaraja.

Mtu kuoanda ndege isionekana anasa, ila anasa iwepo ndani ya mdege kwa madaraja.
Wakipunguza kodi watapata wapi hela za kuzuia maandamano?
 
Shida ni bongo za tuliowapa mamlaka, ni washamba, wanachukulia vitu vingi kama ANASA. Hatuwezi kutoboa, kuagiza ka IST tu kodi mlima, gari linaonekana ANASA.
Wajue umuhimu wa muda ulimwengu huu, kwenye kila kitu anasa hazikosekani, ila zinaenda kwa madaraja.

Mtu kuoanda ndege isionekana anasa, ila anasa iwepo ndani ya mdege kwa madaraja.
Wala sio kuona vitu anasa.

Biashara ni mipango.

Asilimia kubwa ya watu wanaopewa nafasi za biashara hawana educational background ya biashara.

Utasikia sijui engineer au mtu mwenye master ya ajabu ajabu; ukikuta mtu mwenye shahada ya biashara ni wa hovyo tu (atasifiwa kwa sababu ya nafasi alizoshika huko nyuma kwa kupachikwa, lakini hakuna kipimo cha watu walio na ufanisi).

Tanzania maendeleo bada sana.

Nguzo kuu ya maendeleo ya nchi na ufanisi wa taasisi za serikali ni strong civil services inayosimamia hizo taasisi.

Senior civil servants ndio inayoendesha nchi technically na hawa utaalamu wao sio wa mzaha.

Sasa kwenye uendeshaji wa shirika la ndege civil servants inayojitambua aiwezi kwenda kumtafuta mtu ambae alikuwa sijui senior controller wa anga kuendesha biashara.

Na audience yenyewe ya Tanzania, hata mkiambiwa hivyo sio biashara ya ndege inavyofanywa mnatuona wapuuzi.

Wakati wengine tunadadavua hesabu za hiyo biashara ili ku break even marubani wakongwe kama hakina barafu wanatupa likes na kuuliza sasa mbona usije kusaidia taifa.

Wengine mnaona kama tuna ropoka tu.

ATCL ni sehemu ni moja tu ya uozo mind you ndege zao ni cash purchase (japo wanatakiwa kulipa serikali hawana pressure), watu waliokuwa cheap zaidi yao ndege walizokuwa wanatumia ni hire purchase lakini walikuwa na business strategy ya kupata faida.

Tunaposema nchi inahitaji a second Magufuli na civil services kuwa serious ni kwa sababu matatizo ni mengi sana.

Watanzania ni watu ambao wanaweza ona tatizo Iła wana argue bila ya kuwa na abc za topic husika and this is a serious problem.

Huo ndio uhalisia na ndio msingi wa kusifia mapoyoyo yasiyo n uwezo kupewa nafasi kwa sababu sisi wenyewe hatujui what knowledge and skills requirements za hizo nafasi.

Nchi sio maskini kwa bahati mbaya, ni kwa sababu ya uwezo wa watu wanaoiongoza.
 
Usafiri wa anga nchini Tanzania ni usafiri ghali na wa gharama ya juu hadi kufikirisha ukilinganisha na mataifa mengine yakihusisha na safari kutoka bara moja hadi bara jingine.

Usafiri wa anga chini ya Air Tanzania kwa kiasi kikubwa ukisaidiana na Precision Air unaonekana kama umewalenga wanasiasa na wafanyabishara wakubwa.

Safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Caracas, Venezuela hadi Madrid, Uhispania ni takriban $290 sawa na TZS 864,311 - hiyo ni nchi hadi nchi kwenye mabara mawili tofauti.

Safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Bukoba, Tanzania hadi Dar es Salaam, Tanzania ni takriban TZS 631,000 sawa na €212 - hiyo ni mji hadi mji ndani ya nchi.

Safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Fort Lauderdale, USA hadi Cartagena au Barranquilla, Colombia ni takriban $69 sawa na TZS 189,000 - hiyo ni nchi hadi nchi.

Safari ya ndege ya unganisho kutoka Mbeya, Tanzania hadi Mwanza, Tanzania ni takriban 1,100,000 sawa na $403 - hiyo ni jiji hadi jiji ndani ya nchi.

Hii ni mifano midogo sana maana kuna safari za kutoka Seoul, Korea Kusini hadi Barcelona kwa TZS 1,023,000.

Swali langu ni kwanini ATCL na washirika wake ndani ya nchi wana gharama kubwa katika usafirishaji! Je wanatumia teknolojia na mifumo tofauti na ghali ukilinganisha na mataifa mengine?

Ni sababu zipi za msingi zinazofanya flights za ndani ya nchi kuwa ghali maradufu kiuhalisia na hata ukilinganisha na mataifa mengine?

Ni maelekezo kutoka juu kuendelea kuwafinya watanzania wazidi kuishi kijamaa?

JamiiForums naomba msaada wa kuwatafuta ATCL, Mamlaka ya Anga na Wizara ya Uchukuzi watupatie ufafanuzi na statistics zinazohalalisha gharama za usafiri wa anga.
...Inawezekana pia hii inatokana na Mashirika mengi ya Ndege kuwepo Kwa Wenzetu hivyo kuleta Ushindani wa Bei kupata Wateja, wakati sisi tuna ATCL TU na Prescision ( kama nimepata !) kwenda Dar - Kigoma, Dar - Mbeya au Dar - Mwanza... Bei lazima uwe kubwa !
Siku tukiwa na Mashirika mengine kama Kumi ya ndege na ndege ziwe kama Bolt, tutasafiri kwenda Kigoma au Mwanza Kwa Laki Moja Unusu tu!!....
 
Wala sio kuona vitu anasa.

Biashara ni mipango.

Asilimia kubwa ya watu wanaopewa nafasi za biashara hawana educational background ya biashara.

Utasikia sijui engineer au mtu mwenye master ya ajabu ajabu; ukikuta mtu mwenye shahada ya biashara ni wa hovyo tu (atasifiwa kwa sababu ya nafasi alizoshika huko nyuma kwa kupachikwa, lakini hakuna kipimo cha watu walio na ufanisi).

Tanzania maendeleo bada sana.

Nguzo kuu ya maendeleo ya nchi na ufanisi wa taasisi za serikali ni strong civil services inayosimamia hizo taasisi.

Senior civil servants ndio inayoendesha nchi technically na hawa utaalamu wao sio wa mzaha.

Sasa kwenye uendeshaji wa shirika la ndege civil servants inayojitambua aiwezi kwenda kumtafuta mtu ambae alikuwa sijui senior controller wa anga kuendesha biashara.

Na audience yenyewe ya Tanzania, hata mkiambiwa hivyo sio biashara ya ndege inavyofanywa mnatuona wapuuzi.

Wakati wengine tunadadavua hesabu za hiyo biashara ili ku break even marubani wakongwe kama hakina barafu wanatupa likes na kuuliza sasa mbona usije kusaidia taifa.

Wengine mnaona kama tuna ropoka tu.

ATCL ni sehemu ni moja tu ya uozo mind you ndege zao ni cash purchase (japo wanatakiwa kulipa serikali hawana pressure), watu waliokuwa cheap zaidi yao ndege walizokuwa wanatumia ni hire purchase lakini walikuwa na business strategy ya kupata faida.

Tunaposema nchi inahitaji a second Magufuli na civil services kuwa serious ni kwa sababu matatizo ni mengi sana.

Watanzania ni watu ambao wanaweza ona tatizo Iła wana argue bila ya kuwa na abc za topic husika and this is a serious problem.

Huo ndio uhalisia na ndio msingi wa kusifia mapoyoyo yasiyo n uwezo kupewa nafasi kwa sababu sisi wenyewe hatujui what knowledge and skills requirements za hizo nafasi.

Nchi sio maskini kwa bahati mbaya, ni kwa sababu ya uwezo wa watu wanaoiongoza.​
Mkuu Mayor Quimby salaam.
Huu uchangiaji wa kiunaharakati una tija kweli?
Nadhani kama sijakosea nauli za ATCL na kampuni binafsi kwa hapa nchini nauli hazitofautiani sana. Kama tunadhani hizo nauli zipo juu hebu tuzilinganishe basi nauli za RwandanAir, KQ au Ethiopian Air kwa return ticket toka Kigali, Nairobi na Addis Ababa to Dar Es Salam though nadhani unaweza usiwe mlinganisho nzuri kwa vile mashirika tajwa yanaamua bei za nauli kutokana na nguvu ya soko, Season ( majira) na Business strategy yao Mfano Turkey air na Rwandan Air wanatumia Low cost strategy.
Hebu tujiulize ATCL kwa safari za ndani zinapata Abiria wa kutosha kwa kila trip? Je biashara ya ATCL kwa trip za ndani ina break even? Tuna taraji ATCL waje hapa watuambie wanavyo kokotoa nauli za ndani wakati hizo ni Business strategic information za taasisi?
Niseme tu ni vyema tukatoa ushauri wetu kwa weledi kwa wakuu wa ATCL nini wafanye kwa trip za ndani ili nauli ziwe rafiki bila kuathiri uhai wa Kampuni.
Ahsante​
 
Kiongozi msingi mkuu kabla ya kupanga strategy ya biashara ya recovery costs za kuendesha biashara (that’s includes investments costs and running costs of the business).

Sasa kuna namna nyingi ya kufanya hizo hesabu, most popular kwenye airline ni kutumia service costing (hesabu za ku cover return ya administration costs and return of investments ya ndege).

Utakiwi kutumia ndege mpaka ichakae (iwe salvage) bila ya kuweka hesabu ya kurudisha gharama za kununua ndege nyingine. Not only that łazima kuwe na gharama za matengenezo repairs na parts replacements (manufacturer atakupa hizo schedule repairs and major repairs na costs zake) they are all considered in services costing ya ndege hata ndani ya miaka 20 depending on the lifetime of an aircraft.

Ukishajua service costing ya ndege and portion ya administration costing ya biashara unataka kuipa ndio unaweza panga prices and competitive strategies.

Lakini uwezi panga bei kwa kuiga bei za mwingine bila ya kuelewa costs żako kwanza. Mfano Kenya Airways is in heavily debts for many reasons amongst them poor choice of routes to cover the services costs of their planes (hire purchase payments), salary commitments, long term debts and poor business performance to meet past financial obligations.

That’s just Kenya Airways, maana yake nini pricing strategy ya kibiashara inategemea financial obligations za shirika. Uwezi fananisha Kenya Airways na Tanzania airways based on debt commitments. Moreover kuna maswala ya kisera za serikali on fees (also based on costs and making profit( ili ndege zifanye frequent journeys ni hivi.

Haya mambo ni complicated unahitaji watu wenye qualification sahihi serikalini na watu kama Nehemia, Mwigulu, Kitila, Zitto. Kafulila, Matindi and the majority of nonsense don’t have it.

Sasa aina maana Tanzania aina watu wenye uwezo wapo, ndani ya Tanzania kwa sasa. Kuna watu unawasikiiliza mpaka unajiuliza kulikoni mbona huyu sio kiuingozi.

Halafu kuna swala la discipline uwezi kutoa asset ya biashara kwa sababu ya siasa unless you pay well in advance for its usage; vinginevyo uwezi kuamka tu na kutaka ndege kwa matumizi ya serikali kwa taasisi yenye strategy na business plan yake.

We are not serious business, people ndio maana hilo shirika letu la ndege liandeshwa hovyo.
 
Shirika linaendeshwa kwa hasara...

Sasa hizo hasara wanalipia abiria
Hope your ID doesn’t represent anything else other than that.

Else you have serious problems, there is no shortcut in knowledge other than in studying and it’s not any easy fit.

I repeat no shortcut in gaining knowledge (but then it requires rhe processes of understanding what it takes).

You are just ruining people devices, but no shortcut in knowledge (no shortcut), it takes a lot of reading and writing to be analytical. There is no shortcut even if you can access access someone device and perform CMD.

Hakuna icho kitu, yaani Uwezi kuwa na ufahamu wa topic bila ya kusoma kwa kina wewe, mwenyewe. Huwezi kujua bila ya kutenga muda. Asikuongopee mtu, uwezi.

Hakuna shortcut kwenye knowledge, kilichopo kujifunza ni rahisi kwa sabzbu kupata information ni jambo rahisi leo.

Sasa kupata information information na kutumia hizo information ni vitu viwili tofauti.
 
Bado tunaamini usafiri wa anga ni anasa. Ndiyo maana hadi leo mtu akisafiri kwa ndege anajiona kama ametoboa.

Serikali ilisaidie hili shirika lakini pia iruhusu ama kuvutia uwekezaji katika sekta ya anga. Kama alivyo jaribu fastjet huyu precision nae yupo yupo.

Kwa ubora wa miundombinu ya viwanja kwa sasa kutokea kusini, kaskazin, magharibi. Kanda ya ziwa, kanda ya kati ni fursa adhimu kuwekeza.

Shida naona ukiritimba umejaa kwa kuwalinda ATCL ambao nao ni wachovu tu.
Tuyakaribishe mashirika mengine kwa usafiri wa ndani.

Kafulila utakaporudi hapa njoo na muwekezaji kwa njia yako ya PPP.
Kama hakuna mazingira mazuri ya uwekezaji, hakuna atakaye kuja kupoteza mtaji wake
 
Mindset za watawala wanaona usafiri wa ndege ni anasa, hivyo hizo anasa wanatakiwa kuzifaidi wachache. Hii pia ipo kwenye umiliki wa magari hapa nchini, inakuaje TRA hujatengeneza gari lakini unachukua kodi sawa na bei ya kununulia hilo gari!!. Nchi hii watu tunafanywa maskini kwa makusudi kabisa. Watawala wameona sisi kuendelea kuwa maskini ndio mtaji wao kuendelea kutawala na kujilimbikizia mali ili kila siku tuwaabudu wao kama miungu watu.
Sio usafiri wa ndege tu, viongozi wote wanaona mtu hata kuwa na gari ni anasa, ndio maana kila kukicha wanapandisha kodi za magari, wanaangalia gari ipi inapendwa sana na wao wanapita humo humo ili tu tuendelee kuteseka
 
Mindset za watawala wanaona usafiri wa ndege ni anasa, hivyo hizo anasa wanatakiwa kuzifaidi wachache. Hii pia ipo kwenye umiliki wa magari hapa nchini, inakuaje TRA hujatengeneza gari lakini unachukua kodi sawa na bei ya kununulia hilo gari!!. Nchi hii watu tunafanywa maskini kwa makusudi kabisa. Watawala wameona sisi kuendelea kuwa maskini ndio mtaji wao kuendelea kutawala na kujilimbikizia mali ili kila siku tuwaabudu wao kama miungu watu.
Sure, na hii laana iwaendee "tawala". Wamekuwa wakitumia umaskini na ujinga wa waTz kama mtaji wa kuendele kutawala.
 
Hope your ID doesn’t represent anything else other than that.

Else you have serious problems, there is no shortcut in knowledge other than in studying and it’s not any easy fit.

I repeat no shortcut in gaining knowledge (but then it requires rhe processes of understanding what it takes).

You are just ruining people devices, but no shortcut in knowledge (no shortcut), it takes a lot of reading and writing to be analytical. There is no shortcut even if you can access access someone device and perform CMD.

Hakuna icho kitu, yaani Uwezi kuwa na ufahamu wa topic bila ya kusoma kwa kina wewe, mwenyewe. Huwezi kujua bila ya kutenga muda. Asikuongopee mtu, uwezi.

Hakuna shortcut kwenye knowledge, kilichopo kujifunza ni rahisi kwa sabzbu kupata information ni jambo rahisi leo.

Sasa kupata information information na kutumia hizo information ni vitu viwili tofauti.
Duuh If I have problem your in extremely bad condition..
Why you take my comment personally...
Umeandika vitu havielewiki just put it in one sentence...

Otherwise utakuwa bado uko na usingizi
 
Kiongozi msingi mkuu kabla ya kupanga strategy ya biashara ya recovery costs za kuendesha biashara (that’s includes investments costs and running costs of the business).

Sasa kuna namna nyingi ya kufanya hizo hesabu, most popular kwenye airline ni kutumia service costing (hesabu za ku cover return ya administration costs and return of investments ya ndege).

Utakiwi kutumia ndege mpaka ichakae (iwe salvage) bila ya kuweka hesabu ya kurudisha gharama za kununua ndege nyingine. Not only that łazima kuwe na gharama za matengenezo repairs na parts replacements (manufacturer atakupa hizo schedule repairs and major repairs na costs zake) they are all considered in services costing ya ndege hata ndani ya miaka 20 depending on the lifetime of an aircraft.

Ukishajua service costing ya ndege and portion ya administration costing ya biashara unataka kuipa ndio unaweza panga prices and competitive strategies.

Lakini uwezi panga bei kwa kuiga bei za mwingine bila ya kuelewa costs żako kwanza. Mfano Kenya Airways is in heavily debts for many reasons amongst them poor choice of routes to cover the services costs of their planes (hire purchase payments), salary commitments, long term debts and poor business performance to meet past financial obligations.

That’s just Kenya Airways, maana yake nini pricing strategy ya kibiashara inategemea financial obligations za shirika. Uwezi fananisha Kenya Airways na Tanzania airways based on debt commitments. Moreover kuna maswala ya kisera za serikali on fees (also based on costs and making profit( ili ndege zifanye frequent journeys ni hivi.

Haya mambo ni complicated unahitaji watu wenye qualification sahihi serikalini na watu kama Nehemia, Mwigulu, Kitila, Zitto. Kafulila, Matindi and the majority of nonsense don’t have it.

Sasa aina maana Tanzania aina watu wenye uwezo wapo, ndani ya Tanzania kwa sasa. Kuna watu unawasikiiliza mpaka unajiuliza kulikoni mbona huyu sio kiuingozi.

Halafu kuna swala la discipline uwezi kutoa asset ya biashara kwa sababu ya siasa unless you pay well in advance for its usage; vinginevyo uwezi kuamka tu na kutaka ndege kwa matumizi ya serikali kwa taasisi yenye strategy na business plan yake.

We are not serious business, people ndio maana hilo shirika letu la ndege liandeshwa hovyo.​
Mkuu Mayor Quimby shukrani kwa majibu mazuri sana
Kwanza nikiri Mimi sio mtaalam wa uendeshaji wa biashara ya ndege hata hivyo nimekuwa nikijaribu kujifunza kila ninaposafiri na baadhi ya mashirika ya ndege kwa safari za Afrika na nje ya Afrika. Nakumbuka nilianza kujiuliza maswali kadhaa kuhusu nauli za ndege nchini niliposafiri kwenda na kurudi Lagos kwa Usd 400 kwa EthiopianAir ambayo ilikuwa karibu sawa na ya kwenda Bukoba.
Sasa mkuu Mayor Quimby katika bandiko lako umetoa maelezo ya kitaalam sana, je wewe ni sehemu ya ATCL au precession Air? kama wewe ni sehemu, mbona hushauri management? kama wewe sio sehemu, umefahamuje udhaifu wa management husika au approach wanayotumia kuendesha shirika? Je upo tayari kuwa sehemu ya ATCL?
Kwenye bandiko lako umetaja uwezo, usomi etc kwa wataalam ( Management) wa ATCL na kuwa disqualify baadhi ya watu, Je issue kubwa kwenye kuendesha mashirika yetu hapa Tanzania ni uwezo na sio Uadilifu? ( Fanya comparative analysis)

Kiongozi unaomba maelezo marefu ambayo, majibu yake kwa mashirika ya umma unaweza yapata kwenye kamati ya PAC au biashara kama ipo.

Mimi nimetoa mtazamo wa fikra tu tena kwa juu-juu jinsi watu wanavyopiga hesabu za break-even without exact detaiks. Lengo likiwa sio sahihi kulinganisha pricing strategies za makampuni bila ya kuelewa debt commitments zao (nonetheless all have to start with breakeven maths).

And obviously ATCL can be cheaper on the market if they choose to do, given their debt obligations (mdai mwenyewe wa ndege zao serikali hawana pressure kubwa to experiment on strategies) sisemi wapate hasara.

Na nimeshaelezea msingi wa pricing ni service costing kupata break even kwa uelewa wao ndege zipi zinaenda wapi. Mimi sijaajiriwa ATCL kama accounts surely wana accountants wao wanaoweza wapigia hizo hesabu za management.

Sasa tena kuniingiza mimi huko tena kama muhisika wa sehemu ya management, huko kiongozi utakuwa unanionea wengine tupo JF kwa sababu ya kuikosoa serikali kama waandishi wa habari tu, lakini atuhusiki na maamuzi yao wala hatuna nia ya kuwa sehemu ya serikali.
 
Kama hakuna mazingira mazuri ya uwekezaji, hakuna atakaye kuja kupoteza mtaji wake
Ndicho kinachopigiwa kelele. Soko letu ni kubwa sana kwenye sekta ya usafirishaji. Hata ukiangalia moja ya sekta ambazo zimekuwa kwa kasi ni hii ya usafirisha.

Hata sekta ya ujenzi ukuaji wake ni pamoja na uboreshaji wa miundombinu ya usafirishaji.
 
Back
Top Bottom