Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi safari zake zile ATCL wangekuwa wamenunua ndege ngapi ambazo zingetoa huduma sehemu kubwa ya Tanzania?!
Tunataka kutumia TWIGA wewe na si hizi ndege zenye namba kubwa kubwa kama wakimbia riadha kifuani.
Tunataka Air Tanzania, Tanzania Railways Corporations, nk na zikiwa chini ya Watanzania wazawa.
Hii haihitaji uende safari yoyote zaidi ya kutumia kichwa kwa matumizi mengine mengi zaidi ya kufugia nywele.
KAMA UTAKUWA HAI NTAKUJULISHA
Precision Wame-resume safari kupitia kampuni ya Galaxy kule Comores na si JK....Yeye JK anamfahamu rais wa Comores tu na si vingine wala kibiashara.
....Jamani kuna kahali wameandika Kikwete ndo atalipia abiria wote nauli au la....???? Mi sijaelewa Kikwete anahusishwaje hapa, aarghh!!
Walioziuwa kina nani?
Nyerere alikuwa hamfahamu Rais wa Comoro wa enzi hizo? mbona hatukuona biashara zikiendelea na tumeona zikifa tu wakati wake?
Kwanza wafanya biashara aliwapachika jina "mabepari". Hapo sasa! akataka kuwaaminisha watu kuwa utajiri ni mbaya, eti akawa anawatisha kwa kuwaambia biblia inasema tajiri kuingia peponi ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu ya sindano.
Duhhh! Kiko wapi?
Enzi hizo, wewe ulikuwa unatoka kamasi puani. TV zenyewe alikuwa nazo Bakhresa tu. Leo unaongelea watu kuwa na ndege enzi hizo?
Mkuu Zomba nani anaweza kununua gari jipya kama sio serikali pekee
wachaga na mitumba yao lakini bado wako juu kimaendeleo
na wao wanaringishana kwa maendeleo tofauti na wengine ukijenga wanakupeleka gamboshi fasta
nani tena apande youtong za garama wakati ndege ipo ya garama nafuu?
Dar es Salaam and Mwanza is one of the most travelled routes between major cities in Tanzania. fastjet now provides regular daily flights between Julius Nyerere International Airport and Mwanza International Airport.
Book today on the website or by calling one of our representive agents. Flights departing from Dar es Salaam begin from 32,000Tsh (one way excluding taxes).
Dar es Salaam to Mwanza from 32,000Tsh - Offers - Fastjet
Ingekuwa bora zaidi ingetajwa nauli halisi - hii ya "excluding taxes" haipandi sawasawa.